@waziri_wa_comments: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

waziri_wa_comments
waziri_wa_comments
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 06:18:19 GMT
22058
400
96
86

Music

Download

Comments

roxy49605
Roxy :
aliniita nikaitika taarifa ya habali[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 06:26:34
0
en.animations
EN Animations :
Niliambiwa Hiii nikajibu safi mzima
2026-09-21 11:46:30
2
gaudesia.nicholau
G. Nick :
niliamkia mtu nikajiitikia marahaba😂
2026-09-21 07:59:36
5
esteer865
Ester :
sitakuja kuisahau hiyo siku nilimsalimia mtoto wa miaka mi3 shikamoo 😂😂😂😂😂
2026-09-21 09:23:01
3
bashiru.salehe0
bashiru salehe :
me niliingia kanisanan nikafunga mlango
2026-09-21 07:20:59
2
abuu.abdul.azizi
abuu abdul azizi :
kuna mtu alipiga hodi nikamjibu Namimi Hodi😁😁😁
2026-09-21 06:23:22
3
ayshag120
aysha🔐💍 :
jamn me nilimwamby mtu shkamoo badala ya asante 😂😂😂
2026-09-21 07:15:40
2
businesscoach6
Wema :
nilimaliza kuomba nikasema bai badala ya Amen
2026-09-21 09:19:53
1
husna.palyamba
Husna Palyamba :
Ndugu yangu kaniamkia nami nikamrudishia
2026-09-21 08:38:18
0
hamida.masudi
Hamida masudi :
niliambiwa Asante kwa chakula nikajibu marahaba
2026-09-21 09:46:48
0
user4904794574362
Ester Gian :
mtu alibisha hoda nikasema asante badala ya kalibu 😂
2026-09-21 07:13:28
1
neemazegge
neemazegge :
Nyie achen nili musalimia bibi mojaa uyo bibi aliguna akaniuliza unawaza nini bintiyangu 🤣🤣🤣😭😭 ndo kushituka eheee nyie 🤣🤣
2026-09-21 09:25:48
0
diana.ndale
diana ndale :
Nilienda dukani nikaagza naomba juicy ya afya ya bluu😂🤣🤣
2026-09-21 12:34:07
0
nasorocharles
Nasoro Charles :
niliamkia na kuitikia mwenyewe niliyemwamkia akaniuliza najibu vipi sasa
2026-09-21 12:39:23
0
pascal.masaka4
PASSIAS :
nilikuwa na jamaangu kasalimia mtu afu nikawa na wazo na mimi nisalimie nikamjibu jamaa yangu niliekuwa nae marhaba
2026-09-21 12:37:17
0
ney00590
Nevin🌹 :
Hahahahahah
2026-09-21 12:26:06
0
bills_steve
bills :
badala ya kusalimia mmama nikasema marahaba
2026-09-21 12:28:46
0
user1961488172049
Anita mwazembe :
nilimuuliza wakala namba yangu ya siri😂😂😂
2026-09-21 12:22:40
0
mymysha_colletion
virgo ♍️ mom🫴 :
nilimsalimia mtu shikamoo na nikajijibu mwenyewe marahaba 😂😂😂🙌
2026-09-21 09:02:13
5
user5161322229077
husna :
nilifungua mlango wa chumbani nikarudi sebuleni badala ya kuingia chumbani😂😂😂😂😂😂
2026-09-21 12:30:07
0
hadija5010132505128i
♥️beby♥️adija♥️ :
nilimsalimia mtoto
2026-09-21 12:15:32
0
user6563255561190
Tanasha💕💕 :
nilimtongoza mwanamke kwa kuanza na neno nivumilie😅😅😅
2026-09-21 12:13:59
0
sasha.jorry
sasha jorry :
Nilimwambia mtu alie nisaidia shikamoo baada ya asante yani dahhh! sitakuja kusahau 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-21 12:10:06
0
abby.girl116
abby❤🥰 :
hata mm 😃😃😃😃
2026-09-21 12:08:36
0
shomy.talem
shomy talem :
nilichukua simu nikaiweka mdomon na biscuits nikaweka masikioni
2026-09-21 06:46:30
0
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About