@_zuzaism: Part 218 | Tunazungumzia jinsi mfumo wa elimu wa sasa unavyofanana na kiwanda cha kuchakata utiifu, na jinsi tunavyoweza kuvunja mfumo huo kwa kufundisha udadisi, usimamizi wa rasilimali za ndani, na kufikiri katika viwango vya juu. Tunatoa mwongozo wa kuwa mbunifu wa ulimwengu wako mwenyewe badala ya kufuata mkumbo wa jamii. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #classroom #education

zuza
zuza
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 12:00:00 GMT
32023
2734
88
216

Music

Download

Comments

faustinisiqistagm
[email protected] :
eliminate yake
2026-09-25 16:39:42
1
aboubakarallyson
Mr Steal Ur Girl :
School-Obey or fail Government-Obey or jail Religion-Obey or hell Tushakuw trapped bro kenye Matrix ni ngum kutok
2026-09-25 17:03:51
3
pauzipee
MRPOUL_TZ :
very nice bro
2026-09-25 14:55:28
1
jason.from.atlant
Jason from atlantis :
kweli mkuu,,school is a scam
2026-09-21 12:07:45
17
allenshoestz
Allen shoes tz👟 :
ngoja niondoke nisichanganyikiwe
2026-09-26 04:32:33
3
washilo.peter
Washilo Peter :
Jah cure kings ❤️❤️💛💛💚💚
2026-09-25 10:13:05
1
kingjatelojr
kingjatelojr :
hatimae leo nimekuwa wa kwanza kulike🤣🤣🤣
2026-09-21 12:10:21
13
mr_story72
MR_STORY :
saw bas ngoja niache chuo leo🥺
2026-09-21 12:59:37
7
ramasanihashimu
champion goro :
una marifa meng
2026-09-25 20:13:24
4
charoocharoo706
charoo melor :
ume koseya mi sina gari hata sina uhakika wa kula leo 😂😂😂😂😂😂
2026-09-21 13:52:22
1
mtemi_wa_a_town
𝕸𝕿𝕰𝕸𝕴_𝖂𝕬_𝕬_𝕿𝕺𝖂𝕹 ༻꧂ :
fact
2026-09-22 18:16:26
2
johnmihayo185
John Mihayo :
nime kuelewa brather....Mungu akubariki..sana
2026-09-21 14:54:52
3
mr_halal22
Amran📊 :
Iyo search apo chini mmeiona jameni🥲😅
2026-09-21 21:00:02
1
geoffreyjohn645
geoffreyjohn645 :
zuza🙌
2026-09-22 20:30:53
2
lord_of_knowledge
lord of knowledge :
CHAT GPT ANATUFUNUA SANA😂
2026-09-24 21:20:12
1
mikemvictor
Mike Victor :
2026-09-21 22:32:37
1
budah.khan
Abou_dauda :
kila kitu kilikua sahihi kosa ni moja tuu amalo hata ww umelisema ni mabadiliko sisis tume stak pale pale kwenye kuchora panzi kma ambavyo generation ya vifaa ulivyo vtaja ndivyo ilipaswa mitaara ya elimu na material kubadiliko kulingana na maitaj ya kisasa basi.
2026-09-22 16:34:09
1
makwela837
MAKWELA :
ni sahihi
2026-09-21 17:38:57
1
shebyngaoma
shebyngaoma :
bro mi najua unatumia akili nyingi sana ila pongezi kwako maana ni noma
2026-09-21 21:15:27
1
samragirl07
Samragirl :
sasa kaka tufanye nini tufe au...?
2026-09-22 10:56:46
1
pendaelmungure
mungure jr :
solution mkuu
2026-09-21 21:30:56
1
christopher_musa
christophermusa81 :
Asante sana Mwalim kunakitu nimejifunza🤔🙏
2026-09-21 19:59:12
1
nasibu.creation
nasibu Said :
halafu eti kwa mwaka wanakulipa x12 tu[Big LOL][Big LOL]
2026-09-21 18:50:35
2
mahubaah_ideal
MAHUBA :
eee exactemente perfecto 🙏
2026-09-21 16:34:19
2
moses.kusaka
Moses Kusaka :
wengi tunaishi ndani ya mawazo ya wenye akili
2026-09-21 21:37:59
2
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About