@mwalimu_ally: #createsightinsight #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #jamaa huyu mm sasa aninikera Kila sku clab

MWALIMU ALLY MASTORY
MWALIMU ALLY MASTORY
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 07:41:43 GMT
60652
2222
504
330

Music

Download

Comments

kingpasua
Unknown person 🕋🙏❤ :
Humu tu [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 10:25:44
0
user9220828170018
hniffer :
Asante mung kwakuwa muislamu takbir Allah akbar 🥰🥰🥰
2026-09-21 10:21:00
100
devi.ramadhani1
viniciuas :
wewe aliyekwambia huyo ni yesu ni nani
2026-09-21 09:52:53
18
sam.king.dee
Sam king dee :
Sikia dogo, JESUS FILM ilichezwa mwaka 1978 na kumalizika 1979 uku Brian Deacon alifahamika kama Yesu alikuwa na miaka 29 mwaka 1978 na kutimiza miaka 30 mwaka 13/2/1979. kuna miaka zaidi ya 47 yangu iyo muvi ichezwe. swali ni je, Anaecheza club anamiaka 77
2026-09-21 11:05:25
11
bintikigoma1
stellah ❤️🇹🇿 :
huyu sio yesu jaman
2026-09-22 21:56:13
0
kakule.wasi4
Kakule Wasi :
uyo siyo yesu kaka yesu yuko mbinguni hayuko duniyani
2026-09-21 10:05:04
13
kijaz7
Juma kijazi :
brother huyo siyo yesu
2026-09-21 14:30:06
1
godson_mfugaji
Godson Mfugaji songea :
😂😂😂 unajua kwanini nacheka
2026-09-21 14:42:11
2
simonjoseph3514
simonjoseph :
sio yeye arie igiza nimwingine bhana
2026-09-21 10:35:49
5
user71330543373970
Ruty :
Sasa mtu asile maisha
2026-09-21 14:50:33
2
benny00105
Benny@001 :
Kaka we waachie tu wajifanye wanaigiza HUKUMU inakuja kaka haina haja ya kujadili
2026-09-21 11:06:23
1
sabramohamed72
sabramohamed72 :
uyo jamaa yuko sahihi 😅 na msimhukumu kwa sabb hamjamchngia na mumeshamkosea sana kumuabudu
2026-09-22 16:44:20
4
www.tiktok.uncle
Rihanna :
Kwani Aliyekwambia Mtu akivaa hivyo Anaitwa Yesu ndo nani!
2026-09-21 10:36:50
2
agueromorad
Aguero Morad :
kwanza huyo sio yesu na sio alie igiza wamefanana tu
2026-09-22 18:01:45
2
emmanuelsingija
Emmanuel Singija :
wakristo jamani huyu jamaa asituchanganye kabisa yeye ibaki tu alivaa uhusika wa yesu katika filamu ya yesu ila yesu yupo ambaye hatujawahi kuiona sura yake halisi wala sauti yake hata picha zake 🙏🙏🙏
2026-09-21 18:40:32
1
hamisiparago
Hamisi kobe :
si mkiambiwa nnaabudu mzungu mnakataa
2026-09-21 15:25:51
2
azizamakame.abass
aziza :
yes kaanza na club walev wanacheza nae mziki
2026-09-23 09:21:31
1
shasta.karina
shasta karina :
sasa huyo ni DECON 😂😂😂😂 jamani tusomeni nahata akiwa yeye unatakiwa ujue kua huyo ni msaniii
2026-09-22 16:39:20
3
yussufyeswa1
YUSSUF YESWA☯️🇰🇪 :
munamufahamu wewe na nani kaka😅😅😅😂😂😂😂
2026-09-21 19:25:19
1
bongempole
Bonge mpole💥 :
lkn huyo sio yesu
2026-09-21 18:11:52
1
fure.24
FURE🎬🎶 :
dini ni mifumo ya watu azina tofauti na tim za mpira
2026-09-21 16:09:34
1
yazidu_pambakali
yazidu, pambakali :
kumbe yesu ameludi na amsemi
2026-09-21 14:36:37
1
user6818500820736
ma g-love :
ila mitandao bhan ukiamka tu asubuh wajiamulia mambo .
2026-09-21 10:47:25
1
muu_496
mukh,taar :
uyo cyo yesu mzee ile ni movie tu
2026-09-21 10:37:00
1
mashaka621
Meshack :
Tulipo kuwa wadogo mama alituonyesha picha hii ya Yesu, na mpaka sasa Mama yangu ana miaka 60 mbona huyu brayy mbona bado kijana lika langu.
2026-09-21 09:57:11
3
To see more videos from user @mwalimu_ally, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About