viva achana na kujitambulisha niko tegeta nilekeze kwako wap nije mama ulisema jioni unatupa story ya wifi alafu had saiv sielewi
2026-09-21 16:52:03
17
kinemo-focus :
Mm wif yangu aliniloga nikawa sitembei miguu yangu inawaka moto sanaaa dada zangu walinichukua kunipeleka kwa ostazi nikapona hakanambia ukiludiana tena na mdogo wangu kitakacho kukuta usinilaumu haku cha kufia nini nikaondoka zangu nyumbani na mwanangu mungu ni mwema akanilipia hapahapa duniani halikutw anawanga kaka ndo akaamini kuwa dada yake mchawi eti anataka tuludiane haku sitaki😂😂
2026-09-21 08:26:09
12
lily💞💞 :
Iyo Leo hyo
2026-09-21 10:01:50
6
ct A1 :
hii kali vipiii 😂 nikijisahau mnitag
2026-09-21 12:39:34
6
Mwani 003 :
Mim Mawifi wananiogopa sio upande wa Mubaba au walioolewa na Kaka zangu, sitakagi mazoea salamu znatosha
2026-09-22 11:44:45
2
Rose💕 :
Mawifi tumefikiwa afazali 🤣
2026-09-21 15:23:32
2
elizajames053 :
Mawifi ni balaaa Jamani
2026-09-21 11:30:27
1
zuley❤️ :
pomoja da vivq
2026-09-21 10:10:05
1
hiyawa de16 :
wif yangu nakuit hapaaaaa
2026-09-21 15:28:31
2
doris_deo1 :
Leo nimekua wa mwanzo mwanzo 😂😂😂
2026-09-21 08:05:15
1
blandinajohn4 :
saa 4 sasa. naangalia page yako sion kitu.
2026-09-21 19:01:48
1
zai msangi :
nasubur Kwa hamu
2026-09-21 08:30:40
1
neema Ruben :
navochungulia😀 hii page jmn,, mbn huposti mpaka saiv jmn saa tatu,,
2026-09-21 18:30:49
1
dremoe45 :
Mnitag jaman hii pambe
2026-09-21 09:01:42
1
Shuuu designs👗 :
Yani mim mam mkwe kwang ndiy kipengele
2026-09-22 09:25:14
0
FARIDA OMARY Kidoti 🥰 :
Jaman sijaona part 3
2026-09-22 13:11:33
0
Pacha2 :
Mawifi Tupoooo😂😂😂
2026-09-22 08:42:07
0
cece🖇🎀 :
Waambie mawifi wamezdi
2026-09-21 08:01:55
5
Mrs Ismail ♐️ :
Nipo hapa nasubiriiie😁
2026-09-21 19:29:48
0
BERRY JAY 1 :
2026-09-22 05:16:18
0
angel :
next
2026-09-23 05:53:45
0
REHEMA :
laiter
2026-09-22 10:44:22
0
user7166634112322 :
da viva naomb no
2026-09-22 18:01:44
0
zorry :
Finally niekuwa wakwanza
2026-09-21 08:01:12
0
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm
homepage.