@jodie0020: Game over!

jide de mimi
jide de mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 08:18:54 GMT
128700
2665
333
629

Music

Download

Comments

stellambise803
Stella Mbise :
nakulaje watoto wangu hawajala
2026-09-21 12:55:20
118
denic.lyimo
Denic Lyimo :
Mungu wabariki wakina mama wote duniani apo si kwaajili yake😌😌
2026-09-21 12:48:43
160
hopepeter77
@_hope😍 :
pole my friend
2026-09-21 10:55:05
1
gyde670
gyde670 :
respect to our mom
2026-09-21 10:37:33
1
user7656157820512
user7656157820512 :
mama ni kitu kingine kabisa jamani yupo pale lakini anawaza watoto wake
2026-09-21 14:18:42
59
summayya507
Summayya :
hah[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 13:13:11
0
user85aselaray
Aselaray :
Camera man umbea tuuuuuu😀😀😀
2026-09-21 16:07:09
0
mrsmounsor
Mumy Ansaar :
yaan hapo umemkumbuka mtoto nyumbani ukaamua kujizalilisha
2026-09-21 09:47:46
47
aishamsangi118
Aisha Msangi :
watoto wangu wasile hiyo kwiyooo[Laugh approved][Laugh approved][Embarrassed]
2026-09-21 13:33:54
0
ammy.noely
ammy noely :
ni moja ya mama anayejali familia
2026-09-21 11:17:41
71
deborahniyomukiz
first born 💞Deborah 🥳💞 :
nani kama mama [Red heart][Pray][Pray]
2026-09-21 18:30:08
0
bite.kessy6
bite kessy :
michango inauma
2026-09-21 11:32:18
17
rebemyro
Becca Myro ❤️ :
watoto kwanza mengineo baadae
2026-09-21 12:23:54
27
saraphina3972
Saraphina :
Kawaida sana ,michango inauma jaman
2026-09-21 12:08:20
12
sinnahdolcemussa
Hasnat Mussa :
Sio mtt tu mm mpk mume aliniuliza nikirud toka Harusin umeniletea nn, mm sifichi kwa kuiba naombaga foil kabisa kwa mpishi naweka
2026-09-21 13:05:42
18
rahaomary6
mamy shuu :
watoto wanafanya mpaka tunatia aibu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 15:35:30
13
sabra.mussa97
sabra mussa97 :
nan.kama mama hapo anawawekee watt wake hata me hua nafanya hivyo kwa ajili ya wanang
2026-09-21 13:10:59
18
beatrec42
beatrec💞 :
Asante mama mkwe kwa kunizalilisha kiasi ichi
2026-09-21 12:23:20
5
rukiahdmwasile
rukiahdmwasile :
Nile kuku ukumbini Mwananguu hajala siwezi na nabeba hazalani
2026-09-21 16:16:13
2
abdillahi.kagi
Abdillahi Kagi :
Umezingatia mchango poa tu
2026-09-21 14:35:45
2
mauwa.alli
Mauwa Alli :
vipaja kesho naunga mchuzi 😂😂😂😂😂
2026-09-21 15:09:14
3
user1856882513705
user1856882513705 :
tulio acha watoto home oyee
2026-09-21 17:10:12
1
user1058749345423.agatha
I'M Mkami ISSAIAH B🌺✨🍎 :
Ni Mimi kabisa silagi chochote juice kanyama nawapelekea watoto 😃😃😃
2026-09-21 18:14:40
2
williammollel00
WILLIAM GHALLAS :
hvi hyu mama kama ni kweli akiona hii clip mmmmh
2026-09-21 15:39:31
0
mamamaiko4
user5455015683363 :
hapo kwa ajili ya watoto
2026-09-21 13:51:52
1
To see more videos from user @jodie0020, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About