@eliautofix: mwaka wambele #tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿❣️🇰🇪🇰🇪♥️

Eli automotive
Eli automotive
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 08:55:03 GMT
4499
205
17
9

Music

Download

Comments

wil_son117
Will :
lugha yepesi sema gari inaingia limp mode kaka
2026-09-26 19:23:12
2
errymotors
erry motors :
unafungia relay kaka tushafunga sana
2026-09-26 15:55:41
0
carlighttz
car light :
kumbuka ukibadilisha kutoka kwenye halogen,xsenon kwenda LED inabidi utumie LED DECODER ili ibalans watt,calent bila kufanyaivo itakusumbua au itakuwa inawasha taa kwenye dashbody
2026-09-21 17:45:54
2
zack_majeed
zack_Majeed :
ila ww
2026-09-28 09:13:00
0
godwin.ndosi
Godwin ndosi :
mkuuu waambie tu jerumani ila sio Toyota unaweka chochote mkuu bcm za Toyota ziko power sanaa ila za kijerumani shikamoo adi ukiweka balbu feki inakuambia kwenye klasta kunataa aiwaki
2026-09-24 16:20:01
0
alhajj_yusuf
ALHAJJI 🐫🐫yusuf :
Hapo nimesoma
2026-09-23 12:18:16
1
boymazumatz
3oymazuma :
apofund umetudanganya et gear aibdal we umesikia wap
2026-09-23 22:03:28
0
To see more videos from user @eliautofix, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About