@vin___lubs30: Part 1 | Daah JKT imepoa sana wanang yan madogo wanaenda kufanya challange JKT kwl?🥹 @KΔRΔBØI † @Abdulkarimu Matimbwa @smart_Tyta @A💕🌸 @MODDEH_AFRICA🤡 #fyp #foryou #trending #viral #storytime

🌟VIN✨LUBS💫
🌟VIN✨LUBS💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 08:55:24 GMT
59293
4593
530
154

Music

Download

Comments

benezethisack
ben dear :
umeongea point sana mkuu 843kj apa
2026-09-21 09:36:40
102
captain.wizzy0
Captain 🇹🇿🇹🇿wizzy 🇹🇿 :
uhakika mwngu noma San 826kj like apa
2026-09-21 12:02:43
31
kimempire7
King👑 Kim🧑‍💼 Khan💚 :
838 Maramba Dah Like Chap
2026-09-21 10:58:45
26
user3028431608583
Bakar 8727 :
845kj soo poa
2026-09-21 09:37:35
10
melniya.tridya
angel 🪽 :
846kj Luwa jmni wale wa Chiwango 😭😫
2026-09-21 10:51:59
20
innoh_ngailo
KinG icent :
Mamae hyo 835 kj 2014 cm ni nyara ya taifa simu tumepewa week ya ku apply vyuo na mkopo then zikarudi mpk siku ya mwsho …watu kibao mtingo hadi wamesahau password……niliwahi omba cm kwa afande nimpigie bi mkubwa baada kupiga number ya mazaa naambiwa haipatikani …baadae nakuja tuliza kichwa kumbe niliandika no yangu
2026-09-21 14:45:34
25
dingicheed1tz
dingi cheed tz :
837 ndi
2026-09-25 05:40:24
1
j493853
jordan :
838KJ manyama kwel kawaacha wafanye challenge
2026-09-21 13:43:52
11
solanamwaichande
soline :
oya 2019 aiseee🤗🤗🤗
2026-09-21 09:55:15
6
user7338279478107
@#1234! :
Tulienda semina bro😅😅😅
2026-09-21 09:06:57
7
user676261563366
classic boy :
832 KJ like hapa
2026-09-21 11:00:38
25
ngonmigration
NGONI MIGRATION :
hyo 2024 nd ilikuwa balaaa 833kj
2026-09-21 09:26:52
10
salumusalumu4403
Montana :
oyah sio poa wadepo
2026-09-23 09:48:24
2
unju89
UNJU :
we mwenyewe op samia tuulize Op magu
2026-09-21 10:34:42
8
segu0238
SEGU👣 :
kabisa kaka mdogo wanazingua urahia mwing
2026-09-21 10:58:29
6
user5524953608161
kiss_ kidd :
hahaha sio simu tuu had laptop tulikuwa nazo
2026-09-21 09:19:35
8
nestfurnitures
Nest :
sio jkt tu hata walimu wa field siku hizi wanajirecord wakifundisha hatar sana😆😆😆
2026-09-22 03:18:42
9
user2598234637418
VIKINGS Rill dn :
😄😄siku hizi hamna jakata ni taasisi ya malezi ya watoto wa chuo
2026-09-22 09:15:52
6
billionaire8514
SQUARE🇰🇵 :
babaaa yananiona afande sukari haya
2026-09-21 09:32:50
7
_.papacito
papacito💥♎️ :
me mwenyew najiuliza uo uhuru unatoka wap😅
2026-09-21 09:26:32
5
ayoub.erasto
Ayoub Erasto :
Milundikwa 🥺🥺
2026-09-22 22:42:56
2
n1c0flex
Iqram Jr :
siku hizi hamna jkt, me nmepiga 2022 821 k ukionekana na sim hyo kesi yke ni uhaini, had siku ya kufunga koz ambayo ni kama sherehe usionekane nayo!!!
2026-09-24 06:50:01
2
ashypapy01
Itc_me_PAPY😜 :
😁😁sa wee ulitakaje
2026-09-23 10:00:48
2
wisegirl951
wisegirl :
😂😂😂😂 umeongea point sana
2026-09-22 14:19:43
0
boywamoro
MTM42🪖🫡 :
zah zalau sana mkali 😁😁😁😁😁
2026-09-23 10:45:40
2
To see more videos from user @vin___lubs30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About