Ila wazazi wa siku hizi bhana sisi enzi hizo ukipigwa shuleni ukienda nyumbani ukilalamika umepigwa unaongezewa na mzazi
2026-09-21 14:20:00
12
Clement da king :
wanafunzi ni mali ya mwal akiwa shule tu
2026-09-21 13:39:15
7
stephendj% :
hatimae geita tumepata mkuu wa mkoa sasa[Tears of joy]
2026-09-21 12:04:20
6
ibrahimu mayange :
mwanangu asichapwe
2026-09-21 11:53:12
2
Sayayi Hotel :
Nakumbuka nilikosa shule nikapigwa nikarudi nyumbani nalia nikiamini mama atanitetea. Alinichukua mpaka shule akauliza mwalimu alinipiga sababu ninini. Alipoambiwa kosa akauliza nimepigwa fimbo ngapi alipoambiwa aliomba fimbo. Nilichapwa mpaka walimu walimnyang'anya fimbo. Toka siku hiyo walimu walinipenda sana nami nikakazana kusoma. Leo nipo hivi sababu mama hakuniona mimi yai.
MAMA YANGU AENDELEE KUPUMZIKA KWA AMANI.
2026-09-21 15:03:21
6
Kabhe :
Hakuna cha lakini, Mhe. Mnyeti shikilia hapohapo, sisi wote ni wazazi. Nidhamu lazima kwa.watoto
2026-09-21 11:37:18
11
Masanja Sweya :
Rc. big up.
2026-09-21 11:40:25
3
Mitomingi :
Mh Mkuu wa Mkoa hapo umenena vyema
2026-09-21 11:32:56
8
John:Anatomy of car electrical :
saf kwelii👍
2026-09-21 10:54:57
4
w:🥰 :
Asanteeeeeeeeeeeeeee
2026-09-21 17:11:06
1
nchemba :
kuchapa watoto ni ushamba
2026-09-21 16:23:28
0
Msigwa Hugo@3 :
watu wanajitahidi kuandaa maisha ya mwanao bado anaibuka mtu anatetea ujinga
toto haliji shule mzazi anatetea,toto nidhamu ndogo mzazi anatetea
RC umeongea point moja yenye akili kubwa saanaa
2026-09-21 11:29:56
3
M@mkimh :
ahsante hatimaye mtetezi wetu tu hai
2026-09-22 06:55:21
1
Negro del silencio :
Mzazi anatetemeka
2026-09-21 16:00:47
2
Mr info :
umeanza kuwa vizuri😂😂😂 niko hivo
2026-09-21 11:39:15
3
MassamFlorah :
mimi inaniuma mpaka kesho mtt haandiki mtt anaficha daftari ukianza kumchapa mzazi anapiga simu kwa mkuu mtt wangu asichapwe..na fimbo unazochapa ni 3 imeniuma sana
2026-09-21 13:31:35
3
w:🥰 :
Mkuuuu asante sanaaaaaaaaaa
2026-09-21 17:12:28
3
JESUS FIRST :
safi sana Mheshimiwa hilo nimependa sana
2026-09-21 10:59:19
5
Felix Theogen Gaspary :
safi sana nimeanza kukuelewa Hawa ndo viongozi tunaowataka hawatetei ujinga kabisa
2026-09-21 18:11:06
1
johnkomba553 :
kwanza raha ya shule ni fimbo bhana ... yaan zile kulupushani na walimu mara unakuja darasan unaogopa nk sio watoto wetu wasiku hizi kidogo tu wanalalamika
2026-09-21 17:01:13
1
trice1 :
kweli kabisa shemeji yangu @Alexander mnyeti
2026-09-21 16:31:29
1
Paul Maduhu :
Safi Sana RC.
KAZI nzuri Sana
2026-09-21 11:20:22
3
Wageta## :
2026-09-22 12:05:12
0
mk fo real :
ni jambo nzur kuwapa adhabu wanafanzi wakikosea ila walimu pia kuna mda wanaweza kufanya mwanafunz asikanyage shulen kwa sabab ya adhabu wanazo toa walim hii pia imepelekea kule nyamuswa mwanafunz kupiga had kupoteza uhai vp akitokea ivyo hyu mkuu atakuwa na kauli iyo tena ?
2026-09-22 13:44:04
0
To see more videos from user @emmanuelibrahimu30, please go to the Tikwm
homepage.