@mulastar1: Nani ana makosa, Mhudumu au Mteja?

mulastar255
mulastar255
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 09:17:04 GMT
81590
2318
560
910

Music

Download

Comments

dodo.outfit.store
Dodo Outfit store :
Always Customer is right no matter what
2026-09-21 16:42:50
4
iluhuddah
huddah :
mara mke mwenzie[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 12:30:02
1
blessedgee18
🫂🧿 :
Safiiii shangingi umeweza wanajishauaga sana😂😂😂💔
2026-09-21 09:48:20
299
_thisischanny
Channy07🌴🦅 :
Safi sana Cashiers kama Hao tunaBonda tu 😂😂😂
2026-09-21 10:05:28
164
bintimussa36
last born💞 :
AUTAKIWI KUMJIBU MTEJA ATA IWAJE MTEJA MMOJA AKIPOTEA NI HASARA KUBWA KWA KAMPUNI
2026-09-21 11:37:32
151
mwajei123
🛍️MWAJEI VIJORA COLLECTION🔥 :
Tunabonda tu😂
2026-09-21 11:20:26
41
bigbrotherhouseupdates
babynessa :
shoppers ya Dar huduma ni zero😏😏
2026-09-21 11:22:59
72
user35238181920284
sheilah bonnets 💝 #Dodoma :
njoo tupiganee weeeuweeeeh confidence Iko high level napendraaaaa👌👌👌👌🤪🤪
2026-09-21 10:48:09
31
eunice.bee2
Eunice bee :
Kwa shoppers huyo dada kanisaidia maana najiona kabisa kuna siku ningekuwa mm napiga muhudumu wa shoppers yani sijui huwa hawapewi mishahara wanapoor customer care😏😏 huyu dada namtafuta jmn nimpe soda🤣🤣
2026-09-21 10:26:30
64
halimah.chaines
halimah chaines :
saf sana shangingi umetuwakilisha mashangingi
2026-09-21 10:42:56
47
rechocuty940
Recho Cuty :
skuhiz tunabonda tu dada kanifrahisha sana😂😂
2026-09-21 13:14:00
12
blossy058
blossy🌸 :
kwann alimpiga kidogo ivo
2026-09-21 11:00:41
33
babymaa903
Baby maa❤️❤️❤️ :
Badoo wadada wa nida bank na maness
2026-09-21 12:59:22
12
decute382
miracle ♥️🥰 :
muwe mnaajiri watu wanaojua kuongea na wateja hyo ni biashara jmn
2026-09-21 11:47:13
30
mis_alma
مريم 🤎🤍 :
Kwann amuite shanging jmn
2026-09-21 11:23:37
3
only..faah7
🧸✨️𝑘𝓪𝔂𝔂𝑙ꫀꫀ✨️🥷🫟 :
shangingi oweeee😂😂😂. nmepend huyu dada
2026-09-21 11:29:15
1
mwakatundu
Bribri🍒🍓🐾 :
shoppers ya dar aisee 🙌
2026-09-21 11:44:05
3
giddah84
giddah💝 :
Jmn mm uyo Mdada wa shoppers namjuaaa ni mtu poaaa sana tafuteniii chanzo kwanza na sio kumlaumuuu muhudumu wa watu uyo msichana Mara nyingi mm nikiingiaaa shoppers naendaga upande wake yy Ndio anihudumieee Ana good customer care sijui ni nn chanzo ila she is smart sana mm nmejisikia vibaya sana 😔😔😔 mwenye chanzo kilichonyookaaa atuleteee Ndio tuone mwenye kosa
2026-09-21 15:20:49
11
minnah8018
minnah🥰 :
ila Kuna mda wateja nao Huwa na visiran
2026-09-21 12:17:59
6
jerseytalk4
Joyful Outfits :
I can work under pressure kamuita mteja shangingi😂😂😂💔🤌
2026-09-21 11:15:10
11
asia8659
black horse :
😁 huyo dada kabila gani mana 😂😂😂
2026-09-21 11:03:19
33
elicemwanyika
lizzy :
mpigaji yupo shap kukwepa Hadi raha
2026-09-21 12:13:30
14
susie_crusie
__.susieaesthetics🎀 :
Wahudumu wa siku hz hawapewi mafunzo, hutakiwi kugombana na mteja kabs haswa kumwambia maneno makali hivo. anachafua brand ya mtu kwa ujinga wake.
2026-09-21 11:35:24
27
user5306130353661
user5306130353661 :
na hisi kabisa kwa muajili mwenye uelewa huyo dada hakufai ata kama mteja amekukwaza kias gan inabidi umuepuke kwa kutokumjibu hiyo nayo inasaidia kuliko kujibishana nae sasa angekuwa mhudum wa bar c angeliga chupa wateja kila siku maana kule watu wanakuja na stress zao wakilewa ndo balaa angeweza kweli
2026-09-21 13:31:35
6
precious63244
precious :
huwa wanadharau sana
2026-09-21 10:09:17
31
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About