huwez ukawa fasta kwa mazoez hayo lusha ngumi za moja kwa moja ambazo nyoofu kwa mfumo wa chudan n'zuk na jodan n'zuk ikiambatana na tatu n'zuk ikiwa na ambakat ukilusha na mawash ger au mai ger ukizingatia ilo 👍 utakuwa fast
2026-09-22 10:08:36
3
kidy🥴 :
Mzitoo broh,, work hard💪 ✅👍
2026-09-28 13:25:48
3
M² :
fido vato lazima akimbie hapa kwa mazoezi aya🤣🤣🤣
2026-09-21 14:32:42
3
SAULO AKYOO :
yani wew ni fatuma wa atare
2026-09-22 08:51:28
2
kamusoko outfits :
fido lazima akae
2026-09-21 16:31:27
0
MAUKALI. ✨ :
Yuzzo Kama Ngumu
2026-09-21 19:31:56
5
Hussein ⚡🇹🇿🇺🇬🇯🇲 :
Huyo Mgambo wa Ololoo ajipange Broo uko vizur sana
2026-09-24 15:28:00
0
real_kimaro :
Ndo nini hichi ss😂😂😂😂
2026-09-25 07:17:41
2
ESCOBER 🥊☠️ :
ngumu kaka mkubwa sharout 💯
2026-09-21 10:58:23
2
Kevin's Holiday :
Hii ni machine 🔥 mamen
2026-09-21 09:32:35
2
Baraka amati :
mim nakubali broo
2026-10-04 16:38:20
0
jerry juakali :
nakubali
2026-09-28 20:01:11
0
gwantanamo :
utawekelewa
2026-10-04 11:27:13
0
《~𝚍𝚒𝚣𝚘 𝚍𝚒zly♡🇹🇿♡~》 :
fatuma ase
2026-10-03 12:45:05
0
HUSSEIN RHAUMS :
NGUMUUUUU🔥
2026-09-21 10:14:52
0
patrick_mindfullness :
Fido
2026-10-02 20:36:36
0
Ephata baltazary Shayo :
Oooi 🔥
2026-09-23 05:52:44
0
PETRO🌴 :
utufanyagii ivyo[Fire]
2026-09-23 11:02:46
0
Isack Mackphason :
Chipo Mali 🔥🔥
2026-09-24 16:39:58
0
mtotocharle :
swali nikwamba fido kamkosea nini yuzo maana vita zimekuwa kubwa sana kwake
2026-09-26 17:58:38
0
Smoker Vybz :
Yuzo ngumu 🫡
2026-09-24 04:17:43
0
🅙🅤🅝🅘🅞🅡 :
Nikuwakumbusha TU. 🏋️🏋️
2026-09-23 15:42:09
0
CARSON TZ :
jifueee jombaa nakubali ulee mshamba ataakija na mguu wakuku unambakiza mkuu 😁😁
2026-09-21 10:31:44
0
To see more videos from user @yuzo.ngumu, please go to the Tikwm
homepage.