@dollsss___: Msinifokeee Nina minyoo sugu😹😹😹💔💔🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️#tiktok🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #fypシ゚viral🖤tiktok #swahilitiktok #fypシ゚viral🖤tiktok

Dollsss👑👑👑💝💝
Dollsss👑👑👑💝💝
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 10:05:19 GMT
124268
5649
435
406

Music

Download

Comments

sheqeeph.othmany
Sheqeeph Othmany :
it's just being loyal to my friend
2026-09-22 10:24:37
2
prettysbaby
Itc_pretty_s_baby🦋💕 :
Shemeji yangu ndo love of my life asaiv
2026-09-22 14:39:06
3
delamussa03
delamussa03 :
😂😂😂😂🤣 sindio apo ss mwishoe nikose mme kisaaa khaaa
2026-09-21 12:25:51
1
really.neyg.242
Really NeyG 242❤️‍🔥❤️‍🔥 ♈️ :
hatimae nimepata mfariji uwiiii🥰😅
2026-09-21 11:16:25
166
girl81151
💙💙 :
Hawa ndo so called fake friends …
2026-09-22 13:28:47
2
habidah944
Ms🦋bidah🦋 :
shemeji yangu ndio mume wangu sahivi😂😂😂
2026-09-22 12:25:13
34
ciarahken
ciarah🍃 :
Mbona rafk angu wameoana na shemej yake na wana mtoto😂
2026-09-22 03:35:00
42
secondborn255
✪second BORN🏎️ :
Natural theory
2026-09-22 19:58:06
1
ciah1011
CiahGlow✨ :
Mmh umenion kwakwer 😅siku rafiki angu akijua kwishaa🥰
2026-09-22 11:28:15
12
angelinajacob255gmail
Laikah 💕 :
ety jamani mbona Sheria inanyongaa😂
2026-09-22 09:56:05
7
jesymiz1
Jesymiz💕 :
shemeji yangu ndio mme wangu saivi 😂😂😂
2026-09-22 05:21:05
8
7teen7621
7teen :
uzuri mtu anaemtamani shemeji yake tunamjua
2026-09-21 20:37:20
9
makeitcount632
MAKEITCOUNT :
Mi Mme wangu nimepata kutoka kwa rafiki yake
2026-09-22 13:39:48
5
official_phina45
œfficial phįn̈æ :
alhamdulillah mtetezi Kaja 😂
2026-09-21 21:18:22
2
user3132212312629
Mapenzi na mahusiano ❤️ :
jamani je ukidate na mtu mkaachana na yeye akaoa then akaja binamu yake ambae alikuwa siku zote wakati mandate na yule wa kwanza na hakuwahi kukwambia kama anakupenda ila alikuwa anakupa heshima kama shemeji ila safar hii anakuja anasema anakupenda na anahitaji kufanya maisha na wewe na matendo anayofanya unaona kabisa anakupenda na wewe umempenda ila mnaogopa watu watawaonaje na tule ex ataonaje akijua
2026-09-21 15:37:59
10
offical_totoh8
Ness❤️ :
mi nadate nae buana kwani shingapi 😀😀
2026-09-21 11:42:36
6
user8263086263881
warda :
mmhh doll umegusa maisha yangu kabisa niko kwenye ndoa mwaka wa tano huu na aliyekua shemeji yngu na udugu wangu hana habari maana yeye alisema hampendi anataka kumchuna tu mimi si nikajiweka mara paa nataka kukuoa wee nikaolewa bhn nipo nakula maisha na udugu wangu anakuja kwangu anakaa miezi ata mitatu
2026-09-22 07:07:23
6
ericknyakiha
Erick Nyakiha :
Good looking
2026-09-21 19:09:02
1
mashukamazurii
mashukamazurii :
Ebu subir kwanza Doll🤣
2026-09-21 14:54:49
6
evreille
mis.evreille❤️ :
mm nilikuwa na mtu wangu nmedate mwaka mmoja akaja kunisaliti na rafk yng ambae nilimfanya km ndgu tukaachana na mm sahv natoka na best yke mwaka wa 3 huu sahv na tyrr kashakuja nyumbn na ndoa mwezi ujao😂😂😂 na ni rafk yke ambae likimkuta jambo ndo wa kwanz kumwambia lkn potelea pote kapambana kutuachanisha kashindwaaa kaamua kutulia tu na urafk na best yke umepungua sahv c km zaman ila hatak niwe na rafk yake japo kuwa na yy sahv kashapata mwanamke kamtolea barua na kazaa nae lkn kwangu mm hatak niwe na rafk yke😅😅
2026-09-21 17:01:43
7
zurf.yusuf
Zurf Yusuf :
umependeza mwaya
2026-09-21 18:14:21
1
nasmodo.haji
nasmodo haji :
co mm c mmeachana jmn
2026-09-22 15:36:41
1
user11955341383554
lightiness N :
atimae nimekupata nilikua nakutafuta tiktok
2026-09-22 14:30:51
1
user3810542143753
vinah ♥️♥️ :
My situation 🤣🤣
2026-09-22 10:43:13
1
aminamt94
aminamtoromtoro :
nilikua nasoma comment kumbe na mm ni wife wa shemeji 6yrs now😅
2026-09-22 18:00:25
1
To see more videos from user @dollsss___, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About