Hii game nakumbuka Novatus Lufunga alipata Red Card kpnd cha kwnz tu nikajua tumelala ila
what a comeback 🙌
2026-10-21 20:19:18
1
frankwmkomwa21 :
hizi ndio zilikuwaga dabi siyo sasa hv siasa tupu
2026-09-24 08:50:04
4
Alo7jr :
Ila ma cameraman mmh🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂😂😂😂😂
2026-09-25 07:05:01
4
user9804759878508 :
this is simba
2026-09-23 07:02:07
3
Tyson .s. mwaluko :
hiimechi ilichezwa saakumbi ilikua kipindi Cha msimu wa mvuaa baba alitupiga mkwala akasema atakaenda kuangalia mpira asiludi nyumbani🤣 tukabeba redio tukaenda kulima huku tunasikiliza daaa ila baba angu💔💔🤣🤣