@mc.devoted: WOMEN IN THE KINGDOM OF GOD (wanawake katika Ufalme wa Mungu) Ilikuwa ni siku ya neema na uwepo wa Mungu! ❤️🔥 Chini ya maandalizi ya Mwanamke mahiri kwenye Ufalme wa Mungu Beatrice Amani wanawake tulikusanyika kujifunza na kupata maarifa kupitia Neno la Mungu, kuomba pamoja, kujengana na kupata nguvu mpya za kusonga mbele katika safari ya maisha kama wanawake katika Ufalme wa Mungu 🙏🏽 Tulijifunza, tukaomba, tukaimarishwa, na pia tukala na kunywa pamoja katika Uwepo wa Bwana. ❤️ Ayubu 22:28 Nawe utakusudia neno, nalo litathibitika kwako; Na mwanga utaziangazia njia zako. Mungu awasimamishe wanawake zaidi katika nafasi zao ndani ya Ufalme Wake. #creatorsearchinsights #godmoments

Mc Devoted
Mc Devoted
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 10:18:40 GMT
258993
25989
275
434

Music

Download

Comments

drew2541
Drew254 :
I love the smile am wearing while watching my mumama😊😊😊
2026-09-22 18:08:31
1
lasoa98
Tr. Lasoa👩‍🏫💫 :
This song melts my heart,I must either listen or sing it daily😍
2026-09-22 18:25:23
7
franciscahtabby
Mama miradi :
Lakini Christina Shusho is so beautiful
2026-09-22 13:22:25
78
juliamueni
Hon.Julian Mueni (W/Rep)Macha :
She so pretty with a beautiful smile [Heartwarming]
2026-09-22 14:40:24
2
fredamkini
fredamkini :
sauti yenye utu na utulivu
2026-09-22 05:33:02
80
belamaithya
belamaithya :
you look like Nigerian actress shda simkumbuki jina
2026-09-22 09:11:12
4
lucyalex32
Lucy♥️♥️ :
Sauti ya mamlaka🥰
2026-09-22 07:27:45
12
gramaki_cat
pop g🦋🦋🦋 :
Huu wimbo unaitwaje jamn
2026-09-22 09:07:06
13
ts_heaventz
mamie💞 :
atajua mwenyew na lifestyle yake ila nyimbo zake zinanibariki.me sio Mungu hadi nimuhukumu❤️
2026-09-22 08:41:54
22
suzan.joseph2
Suzan Joseph :
sauti yakoo inanifaanyaaa nipatee nguvuu kwelii
2026-09-22 06:09:59
13
user199939284
Mwangemi Esther :
More blessings momy 🥰🥰🥰
2026-09-22 10:49:16
2
joyce.jackson37
Joyce Jackson :
huyu dada napenda sana tabasam lake ♥️♥️♥️
2026-09-22 13:27:16
7
halimajumanne45
Halimaty juma :
Jin la wimb jaman
2026-09-22 13:20:12
0
bettyliru
Betty Liru(SNEAKERS & SPORTS) :
napenda shusho sanaa
2026-09-22 16:25:51
3
davis.11.duma
Davis 11 Duma :
Mimi nakumbuka nyimbo zako za zamani ulipokuwa umeokaka haswa ulipokuwa Mwananyala komakoma zilunifanya niokoke.
2026-09-21 20:25:09
11
brenda22799
brenda :
hii nayo napenda kweli..ata ndio ringtone yangu
2026-09-22 18:25:28
1
user1381287061517
user1381287061517 :
A big Amen.
2026-09-22 11:42:44
2
hr2539140699tz
H@pp! 💕🌹 :
sijuw kwann nikisikiaga hii nyimbo hadi machoz yananitoka🥺
2026-09-22 04:28:29
6
doh1ty
Dohty_justin 🌄 :
Nikikumbuka magonjwa uliyoniponya.Ushuhuda wangu🙏🙏🙏.Ni wewe tu
2026-09-22 08:46:31
6
user6009804255132
Sheilla G. :
Amen🙏🙏🙏
2026-09-22 11:45:05
2
patrice.farah
Patrice Farah :
Amen 🙏🙏
2026-09-22 10:09:10
1
nafisa326
Bina🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬 :
Amen Amen 🙏🙏
2026-09-22 11:33:47
3
ri.nah25786
ri.nah25786 :
ninakumbuka kule umenitoa
2026-09-22 10:56:04
4
esthernolan113
Nolan :
ukiwa ndani ya yesu huzeeki kamwe
2026-09-22 14:06:18
3
ovitha28
Ovitha :
Amina 🙏😘
2026-09-22 11:32:38
2
To see more videos from user @mc.devoted, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About