Hahahahah hiii kwel kuna lishangaz linikua nalo 😅😅😅😅😅😅
2026-11-16 09:22:54
0
mawio🌄🌇 :
bro u can't win na ushaidi 😭😭
2026-09-22 10:57:07
7
Tee Luxe Decor🦋 :
Yeye na meme n nan kamkuta mwenzie
2026-09-21 16:27:50
2
pretty jewel🥰❤️💋🦋🔐 :
mi nimetoka kupost memes saiv 😂😂😂😂 zaidi ya hizo ulizotaja.
2026-09-21 16:34:29
8
fine.c.r.y.s.t.a.l🥰 :
Huyo mwanamke ni mm
2026-09-21 13:03:45
0
Mpayo Smoke🚬🚬 :
mbona kama kweli🤣
2026-09-22 10:50:44
1
Ice queen Sadah👑 :
utajua mwenyew😂
2026-09-22 03:08:58
1
✨IRON🦋🍁💔 :
😂😂😂ayaah nishushen
2026-09-22 10:20:41
1
nominee :
mimi niliambiwa nifute😂😂😂
2026-09-22 06:29:47
1
lucyjocobo :
na ndo naend kupost Kam meme😂😁
2026-09-22 11:03:00
1
Amor🥰 :
Tiktok ndo inafanya Mungu asituhurumie watu wa Arusha tusipo angalia tunakuja tuteketezwe na mvua za elnino
2026-09-21 19:02:21
1
farida fundi :
Hii nayo ya 20
2026-09-22 15:00:14
1
πiph£r 🌹 :
jmn sasa Kam ndo starehe yetu ,hii imeniuma sana
2026-09-21 13:00:45
2
𝔹𝕖𝕗𝕠𝕣𝕖 ℂ𝕙𝕣𝕚𝕤𝕥 :
KIPAS NEVER DIE
2026-11-04 13:18:19
0
Z A Y R O N O I R :
@Milka🙌🙌
2026-11-04 23:40:57
0
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜£𝐐👑🍁 :
HABARI KWA WAZAZI
SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO 🙏🏽
2026-11-24 10:18:46
0
Pojo nail's💅🏾 :
Kanisa la Kristo, tusilale usingizi wa kiroho. Unyakuo ni tumaini letu, na hatupaswi kuishi kana kwamba tuna muda usio na mwisho. Yesu anakuja! Tuwe na taa zetu zinazowaka na mafuta ya kutosha, kama wale wanawali watano wenye hekima. Tusijiandae kwa maneno tu, bali kwa maisha ya utakatifu, imani na uhusiano wa kweli na Mungu.
Swali si kama tunajua Yesu anakuja, bali je, tutakuwa tayari atakapokuja?
“Kesheni basi, kwa sababu hamjui siku wala saa.” Mathayo 25:13
2026-11-08 00:18:15
0
✨Yak💫 :
Sasa mbona kama unakuja kwenye ukweli 😂😂
2026-11-05 23:44:54
0
samking :
fact broh
2026-11-16 10:23:06
0
💕@Husnat💕 :
2026-09-21 12:43:06
0
To see more videos from user @bravo_me2, please go to the Tikwm
homepage.