@mr_africa5: ulikuw unaambiwa nn kuhusu kimbuga 😅😅#makala_tornado#facts

MR_AFRICA
MR_AFRICA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 10:37:10 GMT
52551
2103
30
49

Music

Download

Comments

datiusdidas37
King pirate :
what a background song [Perfect score][Teary eyed]
2026-09-22 09:52:10
0
user7268466875390
Trader himself :
niliambiwa ni mchawi anapita[Tears of joy][Tears of joy] yuko uchi [Laughing]
2026-09-21 13:19:05
3
annu13180
Annu :
nliambiwa nikimwagia chumvi shetan anatokea
2026-09-21 11:56:54
5
user3212736665740
asaph tz :
kishawahi kunibebea chakula shuleni sitasahau
2026-09-21 14:25:36
1
arone.jakobo
baba mtoto :
nilikuwepo
2026-09-21 18:17:08
3
anoldharuna
Anold Haruna :
tulidanganywa
2026-09-21 11:10:00
3
onceagain344
Once Again 47 :
Sio nyoka kweli ila uku dar es Salam havipo
2026-09-21 11:39:42
2
clintonsolo999gma
[email protected] :
Allah🙏
2026-09-21 16:02:59
0
dr.elune129
dr.esn⛎ :
So kwanin hukwapa watu..?? Mwanzo wa video chaonekana kinakwepa watoto apo
2026-09-21 12:43:04
1
asi.fiwe
asi.fiwe :
mmmh sijawah kukiona nakisikiaga tyu
2026-09-21 20:40:09
0
tariqkiambwe
tarico :
kabisa😁
2026-09-22 07:08:40
0
nikoambaeniko
niko ambae niko :
good
2026-09-21 16:43:41
0
amanyohanashija
Amani Shija :
mpak hapo sijaelewa ata moja 😂
2026-09-21 21:18:47
0
pizokay
💎PIZOKAY👑 :
ulikuwepo
2026-09-21 19:47:59
0
official_jedatz
𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥_𝐣𝐞𝐝𝐚𝐭𝐳 :
nauliza tu kwani jirani akilaza WiFi inawaka kuna shida gani ndo nini sasa saa nne kuizima hajui nimehangaika kupata password 😂😂
2026-09-21 19:38:07
0
musa.daprice
Musa daprins :
hiyo waga nini shualy
2026-09-21 11:48:58
1
isd3575
ISD :
ilikiwa ni joka
2026-09-22 07:13:09
0
user36294077955815
clement paulo :
tulishika fimbo kwenda kumchapa
2026-09-22 11:07:08
0
jabirkhatib
jabir khatib :
kilisha wahi kunipiga hicho na miba nililukiaga humo ndani nilivilingishwa pamoja na miba nikatupwa huko
2026-09-22 00:46:25
0
alainkanny827
alainkanny827 :
iyi kitu ili fikiyaka mwalimu wetu, Kika mua mavazi ndani ya uwanja wa chule,
2026-09-22 04:38:45
0
henrysamwely315
Henry :
me niliambiwa ukikizunguka umebeba sufuria la chakula kama n wali unakuta umejaa☺️ila sharti uzunguke mala 3 ukiwa uchi wa mnyama
2026-09-21 21:38:12
0
user970360097708m
Mohamed mazinge :
upombar
2026-09-21 20:22:27
0
heri.daniel3
Daniel heri dkh :
🥰🥰🥰
2026-09-21 12:33:45
1
heri.daniel3
Daniel heri dkh :
😂😂😂
2026-09-21 12:32:26
1
abdul.suphian0
Abdul Suphian :
😳😳😳
2026-09-21 12:44:05
1
To see more videos from user @mr_africa5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About