@mr_overr: #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibar🇹🇿 #oman🇴🇲 #zanzibartiktok

Mr.over
Mr.over
Open In TikTok:
Region: CH
Monday 21 September 2026 10:37:30 GMT
31297
2058
195
108

Music

Download

Comments

user4856635079359
user4856635079359 :
sio kweli uarabuni hakuna MTU aliefanikiwa kujenga Kwa miaka miwili hakuna mshahara uo
2026-09-21 14:23:10
23
ishatz4
@isha :
nitafutie kaz bac huko warabuni
2026-09-21 12:50:34
2
abdallah.habib7
Abdallah darwesh🇳🇱🇵🇭🇹🇿 :
Mbn mm nimefanya kazi ulaya wala ilikuwa siendi madisko mwaka mmoja tu nimejenga na nimefanya mambo yangu mengi inategemea na mtu mwenyew broo
2026-09-21 19:08:52
7
eddykplc
eddykplc :
Aloo usitudngnye nmekaa miaka minne hakuna ishu huko
2026-09-21 12:53:47
8
abbas.a.maokomoa6
Abbas A maokomoa :
Yaani akili mali sana yaani maisha mazuri ndo ujenge nyumbo ndugu unafeli wapi mjengo ndo mnaona ndo kila kitu mmemaliza maisha ahaa tunaferi wapi watz
2026-09-21 13:47:05
3
dani.digitali
Dani Digitali :
arabuni hii hii au kuna arabuni nyingine
2026-09-21 12:26:15
2
user60784867333731
Fatuma juma :
kweli kabisaaaaa Gulf mitano tena
2026-09-21 13:18:42
4
asha.saidi48
Mrs chilu 💝🌹💕❣️❤️❤️🇹🇿🇴🇲 :
ila nikweli kabisa miaka miwili kujenga sio kweli Mimi nimetika kiwanja na kujenga msingi tu asaivi nimeludi tena
2026-09-21 16:59:23
0
nassourhinnay1
Nassourhinnay🇴🇲🇹🇿 :
hhhhhhhhh usiwajaze watu
2026-09-21 12:18:25
1
morjanoman
Morjan Oman :
ukinyima miaka 2. unajenga. boma na kupauwa. ukiongeza mkataba unamaliza nyumba
2026-09-24 04:59:54
2
rwomax64
#64🇰🇪🇰🇪 :
uarabuni shule tosha kabisa
2026-10-17 21:18:29
1
user3693945757650
dede juma 7 k :
kawaida tupo zaman hamuna ishu ivyo mishahara midogo sana Nina mpango wakuhama saiz niimngie kanada
2026-09-25 05:57:28
2
evernice29
nice58 :
nasubili ty paspot siku 5 theni nione napataje boss
2026-09-23 14:11:20
1
onlyo614
maryam :
kabisa
2026-09-23 02:29:58
1
sheshe.kwemayogwe
Najma sheshe :
waambie hao😁😁😁
2026-09-22 10:24:55
1
mwanaishanuhu
asha :
Mm miaka miwili nisha ezeka
2026-09-22 13:37:18
1
bahiyasaid1
bahiya ❤️ :
2026-09-22 05:37:05
0
aboymsafitz
A boy Msafi tz :
aisee hela ipo juzi tu nimefanya visit site na hesabu ya matirio nimepata laki tano kwa siku moja je nikija uarabun je si nakua billionea
2026-09-23 00:19:01
1
said.suleman14
d 23 :
Me nataka broo
2026-09-21 12:15:27
2
joycemahundu
Joyce Mahundu :
kaka nahitaji kuja ila sina chochotee
2026-09-21 11:37:43
0
zawadikarata54gma
[email protected] :
haswaaaaaaaaaaaaaa 👊🏾
2026-09-21 12:34:22
1
djahmonandrew
djahmonandrew :
ww umepata nn?
2026-09-21 15:42:10
1
tuju.master
tuju master :
kaka naitaji mm
2026-09-21 11:54:54
1
khadijaadi49
Mama D :
kwani hawaoni jinsi mji unavongara kwanini na sisi tukiingiya tusingare kwanini tusijenge 👏👏👏
2026-09-21 12:17:54
1
blacklion7864
blacklion :
maneno yako kweli kabisa..
2026-09-21 10:49:32
0
To see more videos from user @mr_overr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About