MUDA WA MUNGU NI MUDA SAHIHI, BINAFSI mm nitafanikiwa tu vzriiiiiii kwa Bidiii ya kazi na Kumuomba MUNGU..
2026-09-21 12:03:34
48
Ara Chafu :
Asant broo
2026-09-21 18:40:25
0
benston09 :
amn brooo
2026-09-21 18:41:42
0
Aimable vutseme 💔 :
mbona mimi Sina tuu amani ya moyo na Sina hizo pesa
2026-09-21 16:41:57
6
exavery 4 :
Mungu atupe mwisho mwema
2026-09-21 11:31:31
18
ETHAN :
asenta
2026-09-21 12:37:16
0
Ian :
hakuna mzembe duniani
2026-09-21 11:34:11
6
Kase bahati :
tuko nyuma yako kk
2026-09-21 10:59:46
20
theophilmjawasi :
amina
2026-09-21 18:03:09
0
MAN ALONE☠️ :
kwel kbs🔥🔥🔥
2026-09-21 10:56:26
5
Mariam Kong'wa :
alhamdulilah ☝️
2026-09-21 11:46:19
5
Chris :
Kaka unafanya kazi nzuri sana ya kuwaelimisha vijana.
2026-09-21 15:17:35
6
~GHOST~ :
🫡🫡🫡🫡 kwaheshima kaka
2026-09-21 10:55:55
5
K7_HOME_DECOR :
ukiwa na amani hata mkate mkavu unalala ukiwa umeshiba. Ukiwa na dhahabu mfukoni lakini vita moyoni, hata pilau haina ladha.
2026-09-21 12:53:29
5
Josseph Msafiri :
So hurt brother
2026-09-21 10:57:37
7
Torenza :
hahaa hiyo ni mind game brother. yenye kutengeneza psychological effects. kiufupi make sure unatafta pesa usikubali kupata pesa ya chakula na kulala kwa asilimia kubwa binadamu anavipata hvo vitu. kiufupi mwamba anachokisema ni ulizike na umasikini usijalibu kua passion ya mafanikio makubwa sio Kila mafanikio lazima ya na Imani anayo yasemea.
2026-09-21 13:49:11
5
To see more videos from user @kenny_lifeteller0, please go to the Tikwm
homepage.