mbona hyo ipo hata bila utapeli muamala kuonesha kufeli lakn imeenda cha msingi tu ukiona muamala umefel unapaswa kucheki salio kama limepungua kama ulikuwa hujui n vyema kupga sm huduma kwa wateja kabla ya kurusha hela kwa mteja otherwise uwe unamfaham📌
2026-09-21 12:25:36
8
Premium🧐 :
kvp sas na transaction imeandika failed
2026-09-21 11:20:05
2
Phina 💞🦋📌 :
kama tgo unaweza Fanya muamala mpaka mwisho unaweka namba ya Siri inakata inakuandikia namba yako ya sir Yan kama imefelinhiv alaf baad ya muda unaletewa sms kwamba muamala umekamilika kama mteja ana haraka unaweza tuma Tena ukadhan umefelinyana🥲🙌
2026-09-21 12:11:01
5
GENY🌹 :
vp kuhusu mteja anakuja na special namba? kwa mfano namba ni halotel lkn huyo mteja ana nga'ngania kusema hiyo namba ni voda .emb niambie hiyo ina kaaje ndg yangu
2026-09-21 11:18:46
3
Rose Mami :
hichi kitu kipo TZ kweny bank ya NBC
2026-09-21 12:38:05
3
Cutedidah :
Jambo muhimu kwa mawakala hiii mbona inatokea sana hata huku kwetu, muhimu ni kuangalia salio kabla hajaondoka yule mteja au kuwapigia huduma kwa wateja full stop🤗
2026-09-21 16:51:05
1
Lidya Munishi :
mbona iyo nikawaida kwenye mtandao ya bank ama ujakutananayo ogeza umakini tu ata kwenye mtandao ya sm inaezekana
2026-09-21 11:42:41
4
CALVIN LEONARD :
No uyo hajatapeliwa Ni issue ya mtandao coz imemuandikia transaction failed.. kwa ufupi tu wakala ukiona umetuma pesa na ukafikia mpaka sehemu yakuandika namba ya siri na ikakubali kuweka namba ya siri kikamilifu kabisa huo muamala 90% umekamilika ni bora ukaushe tu mteja arudi kulalamika au uwasiliane na huduma kwa wateja otherwise usirudie kufanya muamala ambao ushauwekea namba ya siri tayari 📌
2026-09-21 12:19:17
3
F.Y.N🧸 :
kwani io mesej ya transaction failed anatuma mteja au m-mpesa?, m-pesa ndo wanatakiwa wajibika kwa hilo, coz huezi nambia transaction declined na hela mmekata, huenda ata si utapeli ni watu tu wa m-pesa walizingua
2026-09-21 14:03:48
1
Sophia Mangwela :
tena mtandao wa tigo ndio wako vibaya sana katika hili....unaweka kabisa namba ya siri afu inazungukaaa wee inasema failed unakaa kidogo msg inaingia umetuma kiasi kadhaa means kwamba ukiwa na haraka au wenge unarudia kumuwekea mteja...hvo yatupasa kua wenye subra hata kama mteja akiwa mkali bora uulize salio au upige huduma kwa wateja
2026-09-21 12:50:26
2
Edina Chami :
naelekea stand kupanda gari yakenya
2026-09-21 13:13:48
1
@Ebby_tz🫢 :
Tatizo mabank na mashirika hawaajiri cybersecurity wakutosha
Muamala ukifeli kabla ya kurejesha pesa kwa mteja unatakiwa uangalie salio ukijilidhisha unampa
2026-09-21 11:54:55
1
zeesenge :
mawakala wa mwanza tunaijua hii mbinu kitambo[Pray][Pray]
naludishaje hera sijaangalia balance????
2026-09-21 11:38:52
1
MKD_C. E. O :
hii inawezekanaje?
2026-09-21 11:10:19
0
Blessing :
kenya kuna adi degreee ya utapeli na mashirika yao ya utapeli ya world bank foundation walinilizaaaa sanaaaa
2026-09-21 14:39:25
0
dull@h🤴 :
apo kosa lipo kwa mtandao husika kwann iseme imefeli na wakat muamala umeenda hapo kosa la mama liko wap mitandao iboreshe huduma kwa mawakala na siyo kushiriki kuibia mawakala maana apo mtandao umeshiriki kumuibia mama
2026-09-21 17:04:32
0
Mte :
Hiyo iko.connected na watu wa kampuni za simu
2026-09-21 17:10:03
0
mr kwendraaa :
mbona tanzania ipo
2026-09-21 16:34:29
0
jei69♍️ :
mtandao wa hovyo ni tigo
2026-09-21 16:44:48
0
mr kwendraaa :
mbeya lungwe mtu katapeliwa milion2
2026-09-21 16:37:45
0
Angel👼🦋 :
Aisee
2026-09-21 11:11:51
0
To see more videos from user @g_investment, please go to the Tikwm
homepage.