kuna video ya robort inakimbizwa na polisi sjui ni kweli?
2026-09-21 14:19:34
34
😡😡😡😡 :
no comment
2026-10-06 05:59:10
0
Ibrah_bazooka :
Nimeikumbuka movie ya Arnold ya TERMINATOR 😂
2026-09-26 18:18:30
2
𝒅𝒆𝒆 𝒒𝒖𝒕𝒆💦💦💦 :
kwanin huo mfumo usitolewe t maana itauwa watu
2026-09-26 10:01:45
10
nyambuda :
kiukweli mimi niliipenda sana AI na nilitaka iwe advance ili iweze kusimamia mashamba, viwanda vya kila aina nilitaka ifanye kazi zote, ili sisi watu tuwe na mambo mengine ya kufurahia maisha, sikuwahi kuwaza kuwa AI iwe na mashaka kuwa itaangamiza watu, hapo ndio fikra zangu zinarudi nyuma
2026-09-21 11:30:49
21
Velvet Soul🥀🖤 :
ngoja nikamuulize ChatGPT
2026-09-24 04:42:50
8
KHARISS The 1 :
waaaaaaah hio AI mpya itakuwa haitambui binadamu
hio ndo itaingia mtaani kutumaliza😢😢
2026-09-21 14:21:37
5
yaspi keijage :
ISAYA 13:6 Pigeni kelele za hofu; maana siku ya BWANA i karibu; itanyesha kama maangamizi yatokayo kwa Mwenyezi 7, kwa sababu hiyo mikono yote Italegea, na moyo wa kila mtu utayeyuka.
2026-10-05 22:04:29
1
Johnson Kajumuro :
kwa hapa bongo ai kuja kutuathiri wanadamu sio leo wala kesho
2026-09-21 17:34:16
1
dax electronics :
terminator 2 judgement day!! director aliwaza mbali sana james cameroun
2026-09-22 03:38:54
6
Luqmani Qari :
AI hawana uwezo wakufanya mpaka allah atake
2026-10-03 19:55:54
1
Fundi Simu :
mna ogopa Nini Wala atuishi milele😁
2026-09-30 20:46:22
2
Floxwhite🈹️ :
na itakuwa hivo siku moja
2026-09-21 11:28:21
1
OKOKA SASA :
wapendwa nyakati zimeisha Tubu dhambi zako Leo mwamini Yesu Kristo kwa maana nyakati zimeisha
2026-09-30 11:48:10
2
Dec_ Sagumo :
na iyo AI iliyo tengenezwa inatengeneza AI yake nayo mbona kazi ipo
2026-09-21 13:08:00
0
mtula amri :
now I'm free to move from Tanzania to any country needs me [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-21 12:25:17
0
IQRAM Ramadhan :
Kwan huyo Ai ni nani
2026-09-23 05:24:36
1
lucynakupenda :
mungu ndokilakitu atatusaidya sana nikumludiya yeye muumba mbingu na nchi
2026-09-27 06:03:16
1
Salome mkisi :
@Salome mkisi:YAANI MAANA HALISI YA AI KUUNDA AI NYINGINE NI KAMA MAMA AZAE MTOTO ALAFU MTOTO AMFUNDISHE MAMA NAMNA YA KUMLEA
2026-09-22 13:49:03
1
octavian_kangalawe :
inabidi turudi shambani
2026-09-21 14:10:32
0
D mrema :
kuna wakati AI watataka kututawala ndo hapo maisha yetu yatakuwa kama kwenye movie
2026-09-24 06:48:09
3
D19 :
Tangu nijaribu kuzichatisha AI mbili kati ya Gemin na D01 ambayo niliiunda sitaki kusikia upuuzi unaoitwa AI
2026-09-21 13:54:12
3
VAMELAN🤍🩵🇹🇿 🇧🇼🕶️ :
sizani kama ni kitu Cha masihara hii ni instant sanaa sababu Kuna mabadiliko makubwa ya technology
2026-09-22 08:31:06
1
CASTOR MWAJA :
na hiyo AI inayotengenezwa na AI itakua hatari sana maana haitapokea comand kutoka kwa bin adam bali itapokea comand kutoka kwa AI mwenzie
2026-09-21 13:18:01
2
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm
homepage.