@dw_kiswahili: Ni hatari ipi inayomkabili mtanzania asiyekuwa na kitambulisho cha NIDA? Tazama sehemu ya mahojiano ya DW Kiswahili na Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (NIDA) Ndugu James Kaji. Hapa anajibu swali hilo na mengine kadhalika. Unaweza kuyatazama mahojiano haya kwa urefu kuhusiana na NIDA katika chaneli ya YouTube ya DW Kiswahili. #DWTunavuma #vumakwakishindo #DPI #technology
hbr nauliza kwa wale ambao taarifa zimekosewa inakuwaje jinsi gani ya kupata nida ambayo ipo sahihi nn afanye
2026-09-21 14:21:20
1
piana🥰 :
vitambulisho wanatoa kwa mbinde sanaaa
2026-09-21 14:47:50
1
user663870281913 :
me sina chet cha kuzaliwa
2026-09-21 17:08:12
0
$TUZO 402@🇹🇿🌻$🖤😇 :
wengine hatupo tz jamani tunasaidika vp😳
2026-09-21 16:59:26
0
user4503549779551 :
kuungea tu hamjambo Mimi nangojea kitambulisho ni mwaka wa saba huu natumia naomba tu
2026-09-21 17:17:52
0
🌹sherry_lov♥︎🥷 :
jamanii inaqnza linii
2026-09-21 16:32:53
0
BABA TRicia :
kwani lazma
2026-09-21 16:24:20
0
Mwambusye him self :
Siku za mwisho zimefika sasa😅
2026-09-21 16:45:19
0
MISS EXCESS INDEPENDENT :
mbona tunaandikisha lakin atupatijaman mama samia tusaidie watu wa chunya makongolosi tumeiandikesha na hela zinaende tu
2026-09-21 16:25:18
0
tri-phi-na :
Vitambulisho mbona ahwatoi
2026-09-21 16:36:02
0
babe girl :
Inaanza lini hiyo huduma
2026-09-21 16:36:40
0
KASONGO Thug life :
ambao tayari tunavo vitambulisho itakuwaje
2026-09-21 12:04:03
0
momierian% :
Mimi tu marekebisho [Tears of joy]miezi 6 now sjapewa nyingin
2026-09-21 16:30:39
0
ZE J-white😘🇹🇿 :
NIDA yenyewe kuifuatilia mzunguko mreeeeefu kama unaomba kazi mara uonge uku na kule mambo gani bwana kwenye kuja kutuhesabu sensa mnatufuata mpaka majumbani mlango kwa mlango kwann wasituletee majumbani kila nyumba leta vitambulisho namawakala wapo na wanalipwa nini mchango wao kwajamii siwezi kuitesekea nida ukiwa mm ni raia halali wa tanzania lifanyieni kazi ilo🔥
2026-09-21 16:30:58
0
Abuu Tarfah :
serikali ifanye utaratibu ndan ya wiki 1 baada ya mtoto kuzaliwa awe amepata NIDA, CHETI CHA KUZALIWA, PASSPORT YA KUSAFIRIA, BIMA, afanyiwe usafi wa govi kama ni wakiume
2026-09-21 12:09:10
0
user8141481483258 :
mpango ni mzuri ila ukianza kufataialia ndio kazi ilipo ngumu
2026-09-21 15:45:45
0
Hitrel Msolla :
nimesharudi nipo home
2026-09-21 15:51:10
0
user3470942679122 :
huu mwaka bado nida haijapikana
2026-09-21 16:23:28
0
Let talk show :
Nida number tunazo ...
2026-09-21 16:16:07
0
Hadija Mussa aliy :
wengine tuko mbali sas tuna fanyaje
2026-09-21 16:27:01
0
It's star 🌟 🤩 :
sisi ambao hatupo tanzania mnatusaidiaje kupata hizo nida
2026-09-21 16:56:17
0
the factory :
having mwataka kutuchunguza mpaka chumbani
2026-09-21 12:18:57
0
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm
homepage.