sheikh wanaume wengi wanatamani kutimiza wanawake 4 ila kipato tu kidogo ndio maana inatokea hivyo
2026-09-21 16:25:27
2
Baruan Abdallah :
wake zetu awajui kwa nn wameolewa
2026-09-21 14:18:17
3
Muhammad madunda :
hiyo kweli kabisa mim mke wangu kanifuma mala 2 ktk sim ila mbaka sasa tuna mika 10 kanivumilia san
2026-09-21 14:49:17
3
Swaleh Abdulrahma575 :
Uzuri ni kwamba ni utafiti wako
2026-09-21 15:44:05
2
Ummy Darius halifa :
Nikifikiria hayo ata ndoa sitaki tena
2026-09-21 18:56:34
2
abuu marjeby :
Sheikh samahani huo utafiti umetumia njia zipi na umetumia muda gani kufanya hiyo Research na kupata hayo majibu yake tena kwa asilimia kabisa!? kwanini usiseme hayo ni maoni yako tuu we kama sheikh?
2026-09-22 08:03:12
0
Abuu Salafi :
MASHALLAH SHEIKH SHABANI PEMBE
2026-09-22 10:03:47
1
hussin hussein :
Hiyo nikweli kabisa
2026-09-22 04:08:23
1
njux pesa :
swadakta 😎
2026-09-21 14:43:33
1
Amani ibn shekh matokeo :
kwel
2026-09-21 16:20:51
2
Da Ruu Nyago :
ukweli usiopingika
2026-09-22 10:08:09
1
shop_with _ruwaatif. :
ni kweli kbsa
2026-09-21 16:20:20
1
Omari Ally :
ningekuwa napesa shehe ningekupa kwakuongea point
2026-09-22 04:37:28
1
Majeshi :
sheh sio kweli na hata sisi tunasamehe
2026-09-21 17:32:32
1
Safia :
swadakta
2026-09-21 16:47:53
1
khalifa Alliy :
kuchepuka kwa maana gani sayyid na kufumania kwa maana gani, tuweke wazi habiib, afwan
2026-09-21 19:28:50
2
Oggdey :
ushauri waongeze wake
2026-09-21 20:16:35
2
MUSLIMS HAPPY ☪️29 :
Swadakta shekhe Shabani Allah atuongoze tubadilike
2026-09-22 12:42:03
1
Said Khalid :
je sheikh ww unaweza kumsamehe mkeo ukimfumania
2026-09-22 03:01:57
1
Juma Iddy :
Allah akuhifadhi shekh wetu🙏
2026-09-21 13:59:07
1
shop_with _ruwaatif. :
inauma sana 😢 Allah atuongoze
2026-09-21 16:21:18
1
olise17 :
mia fil miaa
2026-09-21 14:13:56
1
To see more videos from user @shekheshabanipembe, please go to the Tikwm
homepage.