@cynthiastella4: 😂😂🙌#cynthia💝 #tiktoktanzania🇹🇿 #makemefamous #100millionviews #blowthisupforme

Cynthia 💝
Cynthia 💝
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 11:44:11 GMT
198922
14036
649
1159

Music

Download

Comments

user8180025431697
jema :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] mbaya hiyo iskie kwa mwingine
2026-09-27 15:28:55
0
doriceurio768
Dorice Urio :
natamani kuweka stutas lkn nitaachwa na huyu mpyaa😆😆😆
2026-09-22 07:56:19
201
sarahlema44
sarah lema :
Namna ya kumshughulikia shetani na jeshi lake🤣🤣
2026-09-21 14:23:59
105
nyangoma278
Binti Sayuni :
Aya sasa
2026-09-28 12:32:21
0
maindivah
Main divah🦋 :
aaaaaaaaaah mimi naeka bhana status liwaloo na liwee😏
2026-09-22 12:08:55
31
user2081579617403
levina🌹 :
nimecheka adi nimekufaa
2026-09-21 18:53:03
23
flavianapond
flaviana wakigoma :
karibuniiiiiiii Tanzaniaaa🤣🤣🤣🤣
2026-09-21 17:35:46
38
official.lee87
official lee :
yooooo
2026-09-27 15:09:36
0
cuterose053
rose🌹 :
mm wangu kanotafta juzi baada ya miaaka 8 nilikuwa adinimeshasahau kama kuna mtu nilishawahi kuzaa nae kutoka mwanza 😁 dah aliingia namba ngeni nikauliza naongea na nani akataja jina me abduly nikauliza abuduly gani imajin nilikuwa adi nimeshamsahau jina alivo sema mm baba ake na fran nikajikuta nacheka na kumtia brock adi Leo ajawah nitafta 😂😂😂
2026-09-26 10:37:13
17
winnie.massawe26
Mama DN❤❤ :
MUNGU awe na msamaha juu yakoo!!! haiwezekan unichekeshe hvi mpk soda imepanda na puani🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 08:40:16
35
martha.zakaria4
TZ black :
😂😂 sio kwa vibe Hilo ni humu tu
2026-09-21 17:28:39
21
shasta.karina
shasta karina :
moja kwa moja status😂
2026-09-22 06:31:34
23
rachelmahenge09
Rachel_Mahenge :
Liwalo na liwe status shwaaaaaaa😂😂
2026-09-27 17:49:49
0
user2798616510322
kidoti :
😂😂😂 ngoja tu nicheke
2026-09-22 13:51:57
6
shamsa..yusuph
happyness 🍎 :
mama ndege😂😂😂
2026-09-21 18:33:22
8
prisca946prisca8tiktok
PRiNCESS83💝🙏 :
aposto kuna muujiza huku wa miaka 10🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 19:55:23
11
jd.beby
jd beby :
wakina cynthia hawajawahi kuniangusha😂😂😂
2026-09-22 09:26:22
7
veronicaakasio
Veroqueen massawe :
Kwa nn nisikupe like wakati umenichekesha hivyo jaman
2026-09-22 12:46:24
42
bluemom30
🦋ŘÃÇHËĽ❤ :
umejua kunifurahisha
2026-09-21 16:23:49
6
user94653600091766
GOD'S daughter :
Nikiwaza diamond aliimba wimbo wa KATOTO HODARI na kule mwisho akataja watu kibao apo ndio nachanganikiwaa mie😂😂😂😂
2026-09-22 09:18:56
5
jenipha598
jenipha :
kwan dada unataka niachike kila nikikuangalia nacheka kwa saut
2026-09-27 19:09:23
1
who58334
Who😅 :
😂Daaah
2026-09-22 06:48:30
1
ednamwiga
Edna Mwiga :
😅😅😅😅😅 jomon na unavyoluka sasa
2026-09-25 16:34:48
0
prince_aymos3
PrinceAymos🫅 :
ngoja nikusaidie kudance
2026-09-26 20:36:27
4
user3413341985247
Letty🎀 :
huwez nichekesha hv nishindwe kukufollow
2026-09-23 17:02:44
1
To see more videos from user @cynthiastella4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About