@coach.aminata: Beauty Club Imerudi tena. Ni Club maalaum kwa wanawake waliotimiza NDOTO ZAO na ambao wapo tayari ku share story zao kwa wanawake wengine wanaotaka kubadili historia zao. Hapa ni kikao cha maandalizi ya tukio letu tarehe 16.10.2026 Jisajili leo uungane na sisi