@yunus.haroub:

YOUNGRICH
YOUNGRICH
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 12:12:29 GMT
4847
146
18
2

Music

Download

Comments

user620596363584
mudy mudy :
hebu tujuane kwanza kila mtu anatokea sehem gan mm naanza mjiweni
2026-09-22 10:24:08
3
seifmohd625
seifmohd625 :
mashallah kuzidi kungara kengeja na viungwa vyake
2026-09-22 08:34:59
1
hajury_98
hahdhdhyeydd :
hio na ile ya zamn hamn tofaut tup hapahapa iv serkal inshndw nn kujenga baeabara standard pemba. hapo magar mchanga ma3 hayapishan sjui wanatgmea nn. anyway mi5 tena
2026-09-22 10:36:10
0
akhy_kassim
Brother Kassim :
Barabara za pemba zote hazina sehemu ya watembea kwa miguu, na nyingi kama sio zote ukitoa za mjini hakuna taa barabarani. Ni mwanzo mzuri lakini na hili serikali iliangalie @ikulu_Zanzibar
2026-09-22 06:47:47
0
fabyalone7
fabyalone7 :
mashaallah huyo ndio Dr mwinyi
2026-09-21 21:34:44
1
d.star864
#D STAR🌟 :
home
2026-09-22 07:10:05
0
mamy14142
mamy :
Alhamdulillah hatimaye tumeonbewa na sisi
2026-09-21 15:14:51
1
user1262816003150
user1262816003150 :
nataman nirud home kengeja ila kaz imenibana
2026-09-22 07:01:57
0
hansom918
♤♡HANSOM♡♡ :
masha allah
2026-09-22 09:24:34
0
suley5554
suley5554 :
MashaAllah 👌
2026-09-21 16:07:39
1
zanzibar050
zanzibar :
sasa ni wakati wa kuenda mahuduthi
2026-09-21 20:22:29
2
meddy.rehani
Meddy Rehani :
na upana mbona ni ule ule hawajaongeza kidogo
2026-09-22 11:24:25
0
luqman_albusaidi
🇴🇲Bin Amour Al-busaid 🇹🇿 :
🥰🥰huko ss ni kutamu sana
2026-09-21 18:28:26
0
mahamatata0
MAHA MATATA :
bora maana kwa mashimoo yale yalokuwepo hadi kipindi hikii
2026-09-21 17:48:53
0
kifaboy564
kifa boy :
[Like][Like][Like]
2026-09-21 14:33:40
1
To see more videos from user @yunus.haroub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About