@kairukihospital: Dkt. Kikwete: WANAUME, MSIOGOPE KUPIMA TEZI DUME!. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa ujumbe muhimu kwa wanaume: kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara, ikiwemo uchunguzi wa tezi dume. Ujumbe wake ni wazi ugonjwa unapogundulika mapema, hatua za matibabu zinaweza kuchukuliwa kwa wakati. Katika ziara yake Kairuki Hospital, Mikocheni, Dkt. Kikwete alitembelea pia kituo cha HIFU, teknolojia ya kisasa inayotumika kutibu baadhi ya uvimbe kwa kutumia mawimbi ya ultrasound bila upasuaji wa kawaida, kwa wagonjwa wanaofaa kitabibu. 👨🏾⚕️ Mwanaume, usisubiri dalili. 🩺 Pima afya yako. 📋 Pata ushauri wa wataalamu. ❤️ Linda afya yako na familia yako. Umefanya uchunguzi wako wa tezi dume lini? 📲 Wasiliana na Kairuki Hospital leo. 0758272222 📍 Kairuki Hospital – Mikocheni, Dar es Salaam AFYA YAKO NI WAJIBU WAKO. CHUKUA HATUA LEO. #KairukiHospital #TeziDume #SarataniYaTeziDume #HIFU #fyp
Mgonjwa Kwanza
Region: TZ
Monday 21 September 2026 12:35:30 GMT
Music
Download
Comments
dudu baya :
wananchi wanataka gharama nafuu basi
2026-09-21 20:40:17
0
Shams :
Hao madocta tunao wa kufanya haya matibabu
2026-09-21 19:07:04
0
Adamkombo1 :
mama mungu akupe aisha marefu
2026-09-21 19:08:09
0
user1431287006807 :
sijajuwa bei ya tiba hiyo ni bei gani
2026-09-21 19:00:20
0
255Bushbabe :
❣️❣️❣️
2026-09-21 15:51:18
0
fine as wine :
2026-09-21 15:50:59
0
mamarosecollection1_ :
😳😳😳
2026-09-21 14:19:05
0
To see more videos from user @kairukihospital, please go to the Tikwm
homepage.