kuna nyimbo nikizisikiliza napata moyo wa kuishi kwenye hii Dunia japo nimekataliwa na ndugu upande wa mama angu 😭😭😭 yote Kwa yote Mungu ndo anajua IPO siku watajua thamani yangu hakuna atakaebaki kwenye hii Dunia wote tutafukiwa chini
2026-10-26 10:33:41
7
Sasha :
naombeni jina la wimbo
2026-09-23 10:22:03
9
sitakishari4 :
wimbo wangu pendwa wa milele
2026-09-22 07:26:52
9
@ma.Travin🥰 :
Dear Lord Bless my business open my ways of earning, Lord I need money for my son's school fees 🙏🙏
2026-09-22 18:54:32
15
Nanah✌️ :
Yan AI inaimba kuliko binadamu😂😂wakae pembeni ituimbie tu AI🥰🥰
2026-09-26 14:41:47
8
#ℂⓄⓄᒪⓂᗑN😎@ :
AI haifungui macho kabisa, nadhani iko uweponi😂
2026-09-24 16:25:26
5
Min Carssy ❤️😍🥰 :
my mormg song🥰🥰🥰🥰
2026-09-22 03:27:39
9
mom frankie kamaa :
Thanksyou Lord Jesus for the healthy gift of life🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-22 19:35:30
6
phyllispesh :
this song takes my heart somewhere
2026-09-22 19:28:10
6
MissAngie🩷🥰 :
ASANTE MUNGU 🙏🙏🙏♥️🙏♥️
2026-09-22 07:10:43
14
linda :
Asante mungu wangu
2026-09-21 14:23:33
5
debora ayo :
asante mungu kwa kunibariki kila siku sijawai kosa hata siku moja asante mungu
2026-10-20 14:06:47
5
starniwajr :
Yan manyimbo ya AI sahv YAMEKUWA Kam El nino
2026-09-22 14:09:06
9
ally tz :
saaa kina mond nan atawasikiliza kama mnatumia ai nyimbo zote
2026-09-28 16:23:36
6
geogrina :
wimbo nakupenda huu nani kaimba
2026-09-22 05:39:17
5
Rose Ubamba :
asante mungu
2026-09-23 10:20:43
1
Queen 👑 Angeline smah❣️💯 :
Asante Mungu 🙏
2026-09-22 18:37:24
2
To see more videos from user @mistah_ibrahim, please go to the Tikwm
homepage.