Nilienda Dar to Tabora na nikarudi Dar tena nyie kuanzia apo ndo nikajua kua wanawake pia tumaweza nilikaa mwez mzima bila kuendesha gari nililichoka gari hadi kulichukia
2026-09-21 14:08:13
22
Peter Dionizi :
ipo siku nitamiliki gari
2026-09-21 13:42:03
15
Cc Farasi :
speed 100 na zaid ni salama zaidi haichoshi na inakufanya uwe makini muda wote ila 50 hapana utaanza mara kushika simu, kushangaa umbea wa pembeni il ukiwa speed ya juu umakin unakuwa bora zaidi na unaenjoy sana
2026-09-21 14:35:53
19
saunoki saitoti :
kushusha vioo hakusaidii ukijihisi hali ya uchovu kusinzia simama toka nje kwa dk 10 usiendeshe zaidi ya masaa 8 bila kupunzika
2026-09-21 18:57:09
9
stoper_📸 :
Boss nina swali hapa
mfano mtu sio mzoefu hata kidogo kuendesha gari yaan yeye labda kutoka hapa mpaka pale kam m500 iv
anaweza kuendesha gari kutoka Singida mpaka Dares salaam bila kupumzika🤣🤣🤣 Naomba unijibu maana kuna mtu nabishana nae hapa anasema anaweza kutoboa
2026-09-27 17:10:53
1
user2737299006394 :
kweli
2026-10-07 03:43:21
0
chaya village⭐️ :
kwa barabara zetu zilivyo sasa ni 80-100 ikizid hapo kama mgeni wa barabara utapasua sana tyre
2026-09-27 21:34:20
1
john claud leonard :
Mungu azid kukupa maarifa uzidi kutufundisha
2026-09-21 14:44:15
5
Immamarenge :
Jambo la kwanza Hakikisha Una Maji ya kunjwa Kwenye Gari Usile ukashiba aswa aswa vyakula vya wanga
ukiendesha Gari Umbali mrefu jitaidi bahads ya Masaa mawili au Km 100 hadi 150 Shuka Kwenye Gari Atlist Dk 5 hadi 10 zunguka Gari Jinyoshe usivae Koti kubwa Linaweza kukuletea Joto ukaisi usingizi ukiona Dalili ya Kusizia Tafuta Sehem Salam Simamisha Gari Shuka kwenye Gari Jinyoshe Ruka ruka ata dk 5
sio kwa humuimu ila usikose Kitu cha kutafuta kama Bublishi au clips
2026-09-21 22:27:21
6
29_mobilestore :
Mbinu ni somtimes kushuka na kunywa maji yakutosha—shuka kila baada ya masaa mawili kagua gar hku unajinyoosh hta kwa dakik 10 to 15—…nishaon utofauti wa safar ambao nliichapa mwiii bila kushuka shuka na safar ambay nlishuka shuka kuna utofauti sna tna mkubwa mno😂😂mambo ya kumwaga moto A to Z sio inshu
2026-09-30 08:21:33
0
🇹🇿MTZ🌹🇹🇿 :
Binafsi safar ya kuanzia km 500 kuendelea speed ya kutumia ni 120-150 hapo siwez kuchoka haraka..
2026-09-21 17:27:35
2
MJESHI COSMETICS :
Mwalimu pekee ninaemkubali ni wewe..💯💯🔥🔥
2026-10-03 23:14:40
0
stepdad :
elimu nzuri sana hii kwa madereva, thanks bro
2026-09-21 17:17:21
2
BK KASULU INFLUENCER💰💸 :
safi sana brother lengo lako ni nini sisi lessen tumetafuta za nini kazi lazima mtupe 😂😂😂
2026-09-22 11:00:39
0
Leonard002 :
Saf
2026-09-29 04:01:45
0
Adoking Boaz :
cku ykutok dsm mpk tunduma cjui itkuwaje
2026-09-21 13:43:28
0
~avitus :
Sawa Asantee kwa elime lakin si magar yote yanachosha naomba uongeleee kuhusu Magar madogo Hasa hasa Hatchback during long trip
2026-09-22 20:33:10
0
nuhujustine229 :
sana kaka ubarikiwe kwa kutukumbusha
2026-09-21 14:07:19
1
kyllan :
big time sanaaa
2026-09-21 18:11:49
0
👑king_G🌹 :
🤝asante kaka
2026-09-21 16:57:03
0
adolfrida mulokozi :
Thank
2026-09-30 20:26:29
0
Johnijooh :
Sasa kaka ukiwafundishaaa sisi madevoooo tutakulaaa aje 😁
2026-09-22 09:59:22
0
Dereva_kijana 🛣️ :
speed ni 100 mkuu ukienda 50 chap ushafumba jicho
2026-09-25 19:00:02
0
Newmankig👑👑 :
kak me naomba nafas.ya udreva
2026-09-21 17:07:26
0
philips intaprise :
safi sana kaka nakukubar sana
2026-09-21 14:20:44
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.