@jvckieseven: mwaka 2003 huyu spider kutoka Zanzibar alidondosha hili jiwe la kuitwa KASUKU akiwa kawashirikisha kundi la mambo poa ambaye yeye pia alikua ni member wa kundi hilo ambalo zamani lilifahamika kama EASY MAN kundi hili liliundwa na wasanii watatu SPIDER, STEVE 2K, JOHN MJEMA (POMPA LA MVUA 😁) kuhusu producer wa huu wimbo kiukweli sikuwahi kumfahamu ila nahisi tu ni babu chuchu ila sina uhakika.
JvckieSeven
Region: TZ
Monday 21 September 2026 13:10:42 GMT
Music
Download
Comments
Chid :
Good work man
2026-09-21 18:58:46
0
Muu :
hi nyimbo nlivokua primary nlikua siipend😅😅 sipendi uyo anaesema vunjaaa😅😁😂
2026-09-21 14:43:55
4
sharifa :
nice one
2026-09-21 18:50:46
0
Aaliyah ❤️🩹🔐🇴🇲🇹🇿 :
Huyu kaka nilikuwa na mpenda macho yake tu
2026-09-21 17:57:49
2
Sheshe Nguzo :
dah jama alichomwa kisu Arusha rip
2026-09-21 16:47:53
2
Sabrahyna store :
Naipenda hii nyimbo balaa 🥰
2026-09-21 17:43:38
2
Bakari boy :
R I P mambo poa allah amrehemu
2026-09-21 14:32:34
2
saadamosh :
spider sijui yuko wapi jaman
2026-09-21 13:22:06
2
Happy🐾✨ :
na Ile mademu 30 wimbo nimeshau jina
2026-09-21 16:24:36
1
Black Angel :
RIP steve 2k,kfo chake kilizua ctofahamu wkt huo
2026-09-21 17:33:51
1
dingii :
Mkuu tuletee ile Mimi sio mwizi
2026-09-21 16:15:27
1
madam cute🥰 :
2026-09-21 18:24:25
0
samomaster1 :
Wawl marehem wotee wa video tataa
2026-09-21 15:27:58
1
King P :
stive 2 k marehemu
2026-09-21 16:02:59
1
Tindwa himself :
marehem steve2k na marehem John mjema pemben kati spider daaaah kitambo xana mora wapunguzie adhabu ya kabuli wariotangulia
2026-09-21 13:36:37
3
King P :
producer kuna muhindi mmoja alikuwa ilala jina ndo limenitoka
2026-09-21 16:02:17
1
blandie mozeee :
nivunje vunje hahahaa
2026-09-21 18:05:42
0
Françoise :
👍👍👍👍
2026-09-21 19:44:52
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.