kama bado kuna mtu anaona lk5 ni pesa yeye bado sana😂
2026-09-22 05:14:19
3
chelseadominiki :
😅😅😅 kwakweli abadili mienendo ya maisha
2026-09-21 13:16:36
7
babylee💞💞 :
Imagine naenda kwawakala namwambia niwekee elf90 yeye anasema nakuwekea laki1 Najua hiyo efl10 utanipa kesho😁Wallah hii siku nifeel poa sana😂😂😂Sikutegemea kwanza
2026-09-21 16:40:09
8
Ms_ jonaice14 :
Ukweli umepenya mpka nimezimia
2026-09-22 06:30:03
0
VERYCK KICTOR :
@Tripple mitano tena
2026-09-21 21:02:20
1
Kh☆mis :
waambie 😂💯
2026-09-21 19:18:03
2
🌸☘️🌸 :
ukwel mchungu
2026-09-21 15:11:43
0
Aiem- Noor🦋 :
Usiniseme sas😂😂😂😂
2026-09-21 20:17:10
0
Official gracious :
Nashukuru MUNGU kwakweli
2026-09-21 18:48:21
0
Angel Bae Tz :
Hii nayo kweli kuwa na wakala wako mmoja fresh
2026-09-21 22:46:36
0
Now_Now_Juice_Fresh🍇 :
Amuwekee yule kaka hata lak5 sio shida zake na hawazi ni sm moja tu🥰
2026-09-21 22:41:02
0
𓆩♡𓆪 𝓜𝓼. 𝓐𝓰𝓰𝓲𝓮 👑✨ :
Ninao Kama wanne ivi😁
2026-09-21 17:17:49
0
being_ Angel💕 :
Kaka jona miaka bukuu
2026-09-21 20:01:38
0
. :
Wakala wangu hata niwe sipo natoa na ananiwekea hela yyt nnayotaka
2026-09-21 19:11:07
0
Zai handbags & shoes :
me mpaka wananiuliza anakuaminije nawambia me mwenyewe sielewi ila ndo kashanamini hivyo
2026-09-21 17:48:45
0
🍃 𝐿𝒾𝓁𝓎🌼🦅 :
Ninae Mungu amuweke yule babaaa
2026-09-21 21:11:13
0
Angel Bae Tz :
Kwa kweli😂😂
2026-09-21 22:45:27
0
️Mama Victor ❤️🔐📌 :
Hahahah ongeza sauti
2026-09-21 15:47:16
0
rider de huncho :
nimebaki😳
2026-09-21 15:49:13
0
🌺LINAH🌺 :
Me nna mawakala wa 4😂😂😂
2026-09-22 06:33:12
0
Ismail Kitutu :
Nilitumiwa lak 2 ad muuza iphone akashangaa 😂akasem we wakishua bac 2 ubail kumbe wakala alijua brother 🙌
2026-09-21 19:43:29
0
kapinga📿 :
ukwel mchungu😂😂
2026-09-21 15:48:59
1
MADAM C.E.O :
kwann nikutumie n ukiwa hujanipa ela huko ulipo weka huko huko ctakag michez ya ela mm wee wateja wan badilik mud wwt
2026-09-22 05:42:19
0
𝗪𝗶𝘇𝘇𝘆 :
😁😁😁
2026-09-21 14:26:54
0
To see more videos from user @mrfinderapartment, please go to the Tikwm
homepage.