@pipytida.officially:

Pipytida officially
Pipytida officially
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 13:18:47 GMT
221324
14888
164
112

Music

Download

Comments

neyrapii
Ney🌹 :
kna raha flan ukiwa unategemewa japo ni ngumu ila unafill happy kuinua familia
2026-09-21 14:11:44
343
nguvila.official
𝐍𝐆𝐔𝐕𝐈𝐋𝐀 :
wanaijua kazi unayofanya
2026-09-21 15:53:46
9
jannie4458
Jannie🌸 :
Ndugu wakipendana na kuelewana tena jinsia moja raha sana 🥰
2026-09-21 14:47:38
180
momyjr8
momy Jr :
hongera sana
2026-09-22 11:33:55
0
oprah8873
Oprah 💞 :
najiungamanisha na hizi baraka 😁
2026-09-21 13:22:41
104
dash__mitindo
DASH__MITINDO :
Sio ofisi ya dada angu sema kiduka cha dada angu…we vipi …
2026-09-21 13:45:03
39
user1208116901116
🦚kim :
ila we dada unakil sana jmn mungu akubrk an kivyovyote pipy unaakil nying za mbali umewazd mbaliii
2026-09-21 13:45:42
76
tedy.mngoni
Tedy mngoni 😍 :
hongera wakunyumba
2026-09-21 14:11:41
10
nyamimary14
mizzy collection🔥 :
si mnaona kuwa bread winner sio lazima uwe first born🥰
2026-09-21 15:36:34
5
kimdyter
Lotus🦋🌹 :
Pipi tunafanana akili ila m nilijenga kwanza kwangu nikamaliza ndo nikajengea wazazi
2026-09-21 14:42:22
6
chichichi471
chichi☪️ :
mnafanana kipenzi
2026-09-21 13:35:58
5
sadakajanja
Sada mabie :
Mmoja afanye nafaka zote mwingine auze nguo.Biashara ya chakula ni uhakika jmn kwanini kila mtu anataka kuuza nguo? Unaweza umalize siku tatu hujaingiza chochote ila sio unga au mchele😢
2026-09-22 05:36:19
4
easterndebby
Esther mruma :
ulisema tuje kuuliza bei alaf...
2026-09-22 08:27:25
1
thedon.girl
The Don girl :
big up
2026-09-21 17:42:20
1
maryjose6931
Mary Jose :
mdog wako mzuri mashallah🥰
2026-09-21 17:24:30
2
elida36030
Elida :
wakwanza
2026-09-21 13:30:03
2
niferyu761
nifer msusi :
arf kuna sisi mh! ngoja ninyamaze
2026-09-21 17:20:51
1
mynalove3
Minnah Fundikila :
Bas apo dukan kwenye kibaraza full umbea najuw msibishe at ss ndo tabia yetu[Laugh approved]
2026-09-21 14:15:47
2
aishajuma370
Aisha Juma :
Nachokupendea una akili sana, Mungu azidi kukubariki.
2026-09-21 16:25:34
11
zy.mapene
zy mapene💵🇹🇿🇦🇪 :
Anapenda familia yake
2026-09-21 14:48:06
1
zauya_collection
Zauya_Collection :
Mashallah mashallah nyumba imeanza adi imeisha na bando langu umu TikTok, mashallah hongera sana da pipy nishusshe 😂😂
2026-09-21 17:07:59
1
user98412571731584
@gee babie :
sehemu ganiii mamy
2026-09-21 14:14:05
1
user3091733251360
STANLEY PA BOMA :
congrats
2026-09-21 13:31:31
1
msaktonge8
msaka tonge :
sawa matilda
2026-09-21 15:50:15
2
asn_pretty
pretty🦋nicely🍷 :
Inamaana amna alieolewa na kaka angu anatafuta mke 🥲
2026-09-22 12:38:20
0
To see more videos from user @pipytida.officially, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About