@jvckieseven: kutoka rock city mwanza mwanamuziki Bob haisa mwaka 2004 alidondosha hili dude la kuitwa chaguo mwenyewe lililokua moto sana radioni na mitaani kiujumla. Huu wimbo ulitayarishwa na producer MIKA MWAMBA 🔥
saiv kila siku tunaonan nae hapa ,,mwanza _misungwi
2026-09-21 15:06:51
2
@graceous97 :
jmn nilikuwa naipenda hapo anaposema nabaki kung'aa macho 🤣
2026-09-22 06:47:25
2
Ruwa :
jamaa alikua hatumii nguvu sana kwenye kuimba
2026-09-21 14:40:13
2
PERFECT KOKU 🍭 :
sema hii nyimbo angeimba MR NICE ingekua 🔥🔥
2026-09-22 10:22:34
2
Shafiq Abdalla :
ilikua njimbo yangu pendwa sana kipindi icho
2026-09-21 18:27:42
1
Rich.Makweba jr :
Dah!!! mkuu umenikumbusha sana mwaka 2007 welcome form one pale murutunguru boys secondary school tulicheza mziki na wanafunzi wa kagunguli girls tukapangwa mademu sehemu yake na sisi sehemu yetu bas ukapigwa huu wimbo tunaenda kuchaguana na wa kucheza nae dah!!! kwa kweli za kale ni dhahabu.
2026-09-23 17:59:33
0
Shakira🌹sile :
😁😁😁😁 Nilikuwa darasa la 3 Asante Mungu kwa pumzi hii inshalah
2026-09-22 20:26:46
1
geofrey Mwesiga :
wimbo wangu bora kwa bongo
2026-09-21 17:40:20
1
Diana Joseph :
NINAYO KWENYE SIMU🔥
2026-09-22 19:54:35
2
FROLIANI :
Nimekumbuka mbari sana kusema kwer
2026-09-21 17:54:44
1
Yusuf OG :
natamani nirudi utotoni sio siri
2026-09-21 19:16:19
1
yuzzo matishet chambuu🇹🇿 :
Oya huyu mmtafute awepo kweshoo za 30 bongo freva jani hii ilikuwa noma sana kwenye disiko za kaseti zaiz simna masabufa sasa wenzenu tulikuwa nakaseti 😂
2026-09-22 08:37:51
1
user4146143158661 :
📷 tulikuww tunatumia ledio za kaseti
2026-09-27 16:54:25
1
user2674148337086 :
subiria nimtumie baby wg haamini kama msukuma wake kama nampenda kweli🥰🥰
2026-09-23 08:30:20
1
NEKANA🇹🇿🇿🇦✅ :
hii ni aina Gani ya bongo flavour mbona tamu sana😂😂😂🤣🤣
2026-09-22 06:18:25
1
Pius :
wow ilikuwa [Fire]
2026-09-21 17:56:57
1
cecylia john :
Mama angu alikuwa aniimba kila siku hii nyimbo nimekumbuka mbali🤣🤣
2026-09-21 16:33:52
1
Vedastus Ndege :
watoto na 2000 hawaelew
2026-09-21 18:45:28
0
almas :
2026-10-17 23:06:38
0
loon_tz :
nilikuwa darasa la 5
2026-10-18 22:39:58
0
Baba Samir :
daaaaah kumbe nimezeeka sasa niache ufala
2026-10-16 20:32:07
0
busigili :
dah mwamba sana
2026-09-21 18:12:47
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.