pia yangu ilienda hvi Zimmerman,,,sitowai ombewa😂😂
2026-09-21 20:29:21
42
vincentkipkoech7 :
Nimepitia videos zako na nimeona huyo jamaa ni mwenye hii account.
2026-09-21 19:51:25
15
Joseh Kwaru👊👊 :
mimi naye kuniombea acha niombewe na wazazi
2026-09-22 03:48:27
14
pussy cat :
Huyo dem amepita hapo na waist beads nibmrembooo🥰
2026-09-21 18:33:57
39
🇰🇪prescovian🇸🇦 :
hapo ni kwa ndege stage ama
2026-09-21 16:45:49
9
lilian :
Niliwai fanyiwa hivi kule 'mwiki' kasarani na wamama wawili nikaambiwa niende niombe the lord's prayer mara 10 na wakaniambia niache my phone hivyo ndio niliporwa😭😭
2026-09-22 09:08:23
2
muthoni 💞🦋🦋🎀💎🇰🇪🇰🇪 :
hehe part two found me 🤣
2026-09-21 17:54:22
2
Jack favour :
Zimmerman haina hizo cases wewe😂😂😂
2026-09-21 16:59:31
16
Miracle girl :
najua uyu jamaa aki na apo pahali umekaa wewe hua anauza protector na cover i think hii ni prank
2026-09-21 20:34:03
9
@naftalymuya254 :
is it real or script
2026-09-21 20:17:39
1
Aisha mwajuma :
nilifanywa ivo dandora 5k na simu zilienda
2026-09-21 19:23:56
6
Tedd :
Movie 😂huyo mwenye anarecord ako kwa base ya nduthi na mwenye ‘kuiba’amevaa reflector😂nice content from zimmer Tv