Mimi nakula hizo savings and wait for God's time🤣🤣🤣
2026-09-22 07:42:50
13
otis :
thats why nataka bibi nimfungulie biashara ikue kama our backup plan..ndio ata kazi ikiisha we can put all our effort and focus on our business and expand it..still praying God alete mwenye ako na akili
2026-09-22 02:15:22
447
Ni Cate :
😏😏hakuna cha nxt...maisha yangu mungu ndoo anayoipanga ...juu tell me y I shld stress myself on a life that I can die hata nikiwa kazini..reality of life
2026-09-22 13:11:01
7
Collo Togoch :
Usiwahi ogopa kufutwa kazi,as long as uko na savings next phase itajipa
2026-09-21 17:04:59
540
Dope boy :
me always asking myself The same question
2026-09-21 13:59:49
139
viLLagE tYcOoN :
That's why Niko na kwetu na Niko na shamba. Naingia kilimo like nothing has happened.
2026-09-22 13:46:36
0
Ryde :
seeing this nikiwa nimefutwa this september☺️☺️
2026-09-21 18:07:58
16
Nancy Milimo :
Walai naeza bebwa na watu wa loans hadi nishangae
2026-09-21 16:42:28
120
JimmyMuli22 :
8 months down the line,God works in a miraculous ways still living in Nairobi
2026-09-21 19:08:27
5
Steeze✨ :
Me sijafukuzwa kwetu,niko 30 years,sina dem,sina watoto,me kwanza manzi wa Mzae hunipenda ajab😂
2026-09-21 18:55:40
119
Ken🦅📉 :
😂😂😂mimi niliingia Forex and let me tell you Forex itakupeleka ushago direct
2026-09-21 17:38:19
21
Virginia :
narudi kwetu ushaguu, i dont care vile watu watasema.
2026-09-21 17:24:42
77
Engel Gabriella🌸💕 :
You will always have a way after being fired me nikiona boss ameanza kisirani hivi. immidiately naanza kutafta ingine just incase😅
2026-09-22 05:57:24
17
Mluhya jeuri :
mimi nimejifuta wenyewe peace of mind is very important
2026-09-21 17:26:19
12
Dem Wa Mancty 🩵🩵🩵🩵 🩵🩵🩵 :
Mungu ndye provider maaaaan mbn njistrss
2026-09-22 06:59:10
31
maria :
uzuri sina hiyo kazi so siwezi futwa😂😂😂
2026-09-22 07:37:48
6
ROSE TYCOON 💱🇰🇪 :
natafuta ingine sina time ya kulia mimi
2026-09-21 22:43:24
22
Mc PapaRazzy💪 :
I always prepare my self
2026-09-21 14:47:05
9
C.E.O :
kwani nani hana kwao.. 😂😂😂unarudi tu unarefresh... mm siezi teseka na stress na depression ju ya kuvutwa kazi 😂😂😂
2026-09-22 05:45:17
8
Marrie🥰🔥 :
what of Mimi mwenye day nafutwa KAZI 1week haishangi kama sijapata ingine
2026-09-22 09:22:41
42
3rd BORN 003 :
1: am investing with my wife salon
2: I have about 30 dacks at home
3:am a plumber
2026-09-21 14:53:01
148
SHIBISI 🎯 :
mi sijawahi hata andikwa kazi jameni 💔💔
2026-09-21 17:59:22
14
Romanos-Search-Engine :
Mm nliresign in June from a very toxic workplace
2026-09-21 15:39:00
71
Chef Akillo 💱®️🐇 :
nimewahi futwa kazi saa tano usiku🤣🤣🤣🤣it's not a laughing matter but that really built a monster inside me
2026-09-21 17:25:52
24
Archimedes :
my savings are enough to begin a risky business
2026-09-21 16:25:59
31
To see more videos from user @goodjoseph220, please go to the Tikwm
homepage.