@winner8019: Kwanini watu wengi tunaoishi na na virusi vya ukimwi tuna hasira........ Zipo sababu kadhaa nimeziorodhesha hapo chini (1) Msongo wa mawazo: (2)Unyanyapaa unaoambatana na ubaguzi (3) Kuchoka kihisia kunakopelekea mtu kuwa na huzuni, na sonona (4) Changamoto za kukosa usingizi huongeza ukali wa hasira na kukereka. (5) Dawa za ARV kwa baadhi ya watu zinaweza kuhusishwa na mabadiliko ya usingizi au hisia kwa watu wachache lakini sio wote Kwa mfano, dolutegravir iliyopo kwenye TLD na efavirenz zimewahi kuhusishwa na mabadiliko hayo. (6) Magonjwa mengine au uchovu wa mwili pia vinanaweza kuchangia mtu kuwa mkali au mwenye kukereka. (7) Kukuosa mahusiano yanayo eleweka (Upweke) Kitu gani mviu ufanye unapokuwa na changamoto ya hasira zinazo jirudia mala kwa mala (1) Jifunze kutenganisha “kVVU” na na hasira.” kuishi na virusi vya ukimwi sio sababu ya kukufanya muda wote uwe mtu wa kukasirika unaweza kujizuiq ila pale unaposhindwa kabisa ni muhimu kuzungumza na mhudumu wa afya ili kutafuta chanzo. (2) Chunga sana hasira zisikufanye uache ARV muda wote unapohisi —mabadiliko yoyote ya kihisia rudi CT kwaajiri ya ushauri zaidi Nb; Kwa mahitaji ya supplement nzuri za kujenga afya yako na kurutubisha kinga zako kwa haraka nitafute 0767 879406 @Magere Winner#winnermagerefoundation #MagereWinner #tiktokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #videoviralシ

MAGERE WINNER 🇹🇿
MAGERE WINNER 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 13:47:06 GMT
15233
620
43
14

Music

Download

Comments

user8670943817718
user8670943817718 :
mm Nina ukimwi ila sijawah kunununa ama kukasirika na Sina ata mawazo yaan kiufupi najihisi mm si mgonjwa bali n mzimaaa saaana
2026-10-16 11:20:22
4
poa4749
poa :
Daaa nikweri kabisa
2026-09-21 20:36:22
3
nyamandemanyama8
nyamandemanyama8 :
sijawah pita video yakoo nakupenda kaka endelea kuponya wengine waelewe na ww umefanyika baraka saidia wengineee wapate elimu tuko na ww
2026-10-29 08:02:29
0
nura.amiri
Nura Amiri :
nakupenda sana kaka unaelimisha
2026-09-21 20:08:54
3
flavianamushi1
flaviana mushi :
Jehovah mungumubariki huyu kaka🥰🥰
2026-10-21 08:25:16
0
joshuamjeshi477
The True Nswila :
jamani maana nina mtoto nachoka
2026-10-07 11:58:10
0
user7499635343077
amina daudi :
mwenyezi mungu atakulipa kwaicho unacho kifanya mana unaonekama unafanya uku ukwa na fulaha sana
2026-09-22 12:02:22
2
user6680817256333
Stella ayubu :
daaa asant
2026-09-24 10:40:45
0
atispesa27
Rose Obulu :
nawapenda
2026-10-06 14:01:19
0
meleet.zacha
official_letique :
Mungu aendeleee kukuweka unasaidia sana watu🥰
2026-09-28 17:45:59
1
m4576816
m4 💕 :
dah!!!!
2026-09-23 18:42:19
0
modesta.bukuku
First Born :
Apo sasa nimecheka jamani
2026-09-21 19:44:41
1
manargis3
ma nargis :
asante kwa ushauli
2026-09-24 19:20:43
1
user7101859614231
danieli :
kipind sjitambui
2026-09-25 16:19:26
1
charo.ngowa
jacks sparrow :
true
2026-09-21 14:50:19
1
user7610462291925
shakht :
sasa kushea
2026-09-22 09:40:21
1
hhendry.monyo.hen
hHendry Monyo Hendry Monyo :
naomba.namba.yako
2026-09-23 17:40:14
1
amour4097
Amour ❤️ :
jana nd nimesoma history yak bhnaa nimesikia kuumia sana
2026-09-22 12:33:49
1
mercy.vireso
Mercy Vireso :
namba ya whatsup kaka
2026-10-13 05:11:05
0
reginald_ngowi
REGINALD NGOWI :
kwanni macho yanakuwa meusi??
2026-10-19 12:02:27
0
user9907777699909
user9907777699909 :
magere ushakua kuadi
2026-09-21 17:02:19
2
winnifridabaisi3
Wiinie :
Maswali Mengine tunapenda tukuukize kwwnye namba ya simu hujazitoa
2026-10-06 09:08:33
0
user1331325730408
Alawi msagath :
wengine asira nyingi ukimzingua anatoa kisu akuchome
2026-10-18 06:53:12
0
brandin2006
user61940174288770 :
uongo bana ,acha uongo
2026-10-18 19:16:15
0
mr.noname390
Mr. No name🙅‍♂️--- :
HZO ZOTE NI SABABU NDOGONDOGO sababu ni moja tu. Hyo hali husababishwa na maudhi madogo madogo kutokana na matumizi ya dawa za ARVs. Zinasababisha vipi? maelezo utayapata kwa wataalamu yaan Doct AHSANTENI
2026-10-04 08:45:42
0
To see more videos from user @winner8019, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About