ustadhi naomba kuuliza swali plz unamtu yaani namaanisha mke kama n girl friend hainashida nita share nae n kama n mke pia dini inarusu wa 4 vp apo asemaje shekhe😅😅😅😅😅😅msinitusi nmekufia huyu shekhe mapastor kidogo waniuwe nakiskari😂😂😂
2026-09-22 06:30:48
2
black beauty :
naomba ya baba yani babangu namshukuru ajawahi kukimbia majumu yake hadi sai ni baba bora
2026-09-25 12:53:09
3
Mariam 8 :
Mungu atulinde wazazi wetu inshaaAllah hongera sana kakangu Mungu akuzidishie inshaaAllah
2026-09-22 00:20:26
2
Rehan&momy💕 :
M.A
Hassan kama sijakosea
2026-09-24 12:44:46
1
mrs zahoro❤️❤️❤️ :
mashallah 🥰 🥰
2026-09-23 08:53:56
1
Ashuu bby gal :
Allah ampe darja ya juu mmangu kipenzi Awarehemu na wazazi wetu wotee waliotangulia mbele za haki
2026-09-22 23:41:41
3
Rahumah :
Masha Allah
2026-09-24 21:11:53
1
maryam.tosha💝💝💝 :
amini 😭😭😭😭
2026-09-21 20:49:11
1
💫Miss.N😍😍 :
shukran 🥰🥰🥰
2026-09-21 13:57:54
1
amina juma :
akuna Kama mama mungu amsamehe madhambi yake yadhahiri na kujificha.