Wah time ishaenda kweli enzi za Misosi walai he was best in his own style
2026-09-22 06:53:04
0
SalehSp :
km imetoka leo [Fire][Fire][Fire]
2026-09-22 06:46:16
0
Ney14♈️ :
umetisha sana uncle joe
2026-09-21 20:20:57
0
Dee Hb :
The legend
2026-09-21 17:01:53
3
cashkush :
Kila mtu asikilize nyimbo za umri wake
2026-09-21 20:22:54
7
Prisca Anania :
hii ilikuwa hatariiii
2026-09-21 20:40:53
5
SeifMabuga :
Mlikua umnaumiza vichwa bro. kwenye utunzi sio wasanii wa sasa kidogo tu nyimbo imeisha.
2026-09-21 14:45:43
10
SMG :
mikazo iendelee baba ngoma zenu ndy chanzo cha sis kujua ngoma mbovu na kali
2026-09-21 14:18:50
10
user7079617481251imrany mfanga :
huyu jamaa kauwa sana alafu beat kal mziki mkal duuh kama mpya
2026-09-21 19:19:37
6
massmedia30 :
alama za ala hazichuji
2026-09-21 16:49:50
3
karlimax Africa :
kaka achia ngoma
2026-09-21 23:52:06
0
Y to the E cutts Design 💈 :
kaka mkubwa nakubali sana Kaz żako 🔥🔥🔥
2026-09-21 20:48:22
2
Ommy :
swa
2026-09-21 19:38:44
1
kairajames1 :
baba baba
2026-09-21 17:03:26
0
Emma Elias :
daa
2026-09-21 15:29:08
1
𝑬𝒍𝒑𝒓𝒐𝒇. 𝑮𝒘𝒂𝒘𝒂 ᒍr̤🦅 :
tulikumisi saaana
2026-09-21 20:42:19
1
fabyboyofficial :
NILIKUWA NASUBIRI MKUU UMETISHA SANA 🦒🦒🦒🦒
2026-09-21 20:20:31
1
De Biofilm :
nakubali ngoma kaliiii 🫵🫵🔥🔥🔥💥💥🙌🙌
2026-09-21 18:50:45
1
innocentgerald61 :
Daah! nimekumbuka mbali sana siku umefika Mbeya wilayani Rungwe ninayo kumbukumbu mwanangu ulikuwa humble sana🙏
2026-09-21 17:36:27
1
Edward Paschal :
kama imetoka jana
2026-09-21 16:55:19
1
MbwanaCyrus :
Kumbe Hamna Mziki Aisee Siku Hizi..
Machozi Ya Furaha Hivi Vipaji Vya Jana..
Mungu Anipe Hela Za Kutosha Nimiliki Studio Niwarekodi Hawa Vijana Wa Jana Bila Ada Yoyote
2026-09-21 20:42:56
1
SHITTE WIZZY :
bwama misosi we mkali bwanaa [Fire][Fire][Fire][Fire][Fire]
2026-09-21 17:24:03
1
Jeffjaffary :
Respect sana kaka
2026-09-22 05:49:58
0
Hilali Abeid :
wewe ndo utakiwa kila show uwepo mzee
2026-09-22 06:14:51
0
To see more videos from user @bwanamisosi_tz, please go to the Tikwm
homepage.