@officialflashback255: Asimulia alivyonusurika ajali ya Bas la _MAJINJA_ 42 walipoteza Maisha #trending #kenya #tiktok #ugandatiktok #Tanzania

FlashBack 255
FlashBack 255
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:13:34 GMT
36062
1485
91
25

Music

Download

Comments

safwa.galr
safwa galr :
du dada yangu alifariki pamoja na mtt wake sita kuja kusahau 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-22 18:25:12
7
frankbosco2
Frank B :
halikuwa gar la mbao ,ilikuwa container ,mimi nilikuwepo kutoa ile miili mtoni
2026-09-22 08:34:48
7
majeee255
Mkumbo Jr :
Usiombe upate ajali ya basi.. Mimi yangu sitasahau ajali ya bus ya ALLYS manyoni kugonga kichwa cha treni Nov 30, 2023... Niliponea kwa kupita shimo la sindano. Rest in peace wote waliokufa kwenye ajali ile...
2026-09-22 16:23:59
9
user3569401331509
miss vibes :
nikajua Tanu
2026-09-22 17:31:49
1
charls.belo8
belo charls :
mwamba kanikumbusha mbali sana dereva wa roli alikuwaga mwanangu sana sio mbao ilikuwaga kontena
2026-09-22 11:16:32
5
sandrino_hunter_82
Jorge sandrino Hunter :
hauwez kusahau ila haukumbuk tarehw mwez wala mwaka ....sasa kwan kusahau ni nini??
2026-09-22 06:54:14
3
will_23c
willcj1 :
2016
2026-09-22 07:04:17
2
tasac.latra
Tasac Latra :
2026-09-22 17:53:59
2
bigmun56
rayyan :
Daah sista Olga apumzike kwa amani ajali hiyo ilimchukua
2026-09-22 08:00:35
1
isaacpeterm
Isaac Peter425 :
Ajali hii ilipoteza rafiki zangu watatu niliosoma nao A’level & Udsm 😢
2026-09-22 18:09:03
2
user68543717745195
[email protected] :
Eeeh nakumbuka basi la majinja lilikuwa mbele yetu,uwiiii nilishindwa kulala siku 3 ,mshukuru mungu sana
2026-09-22 13:44:14
2
mponela.finyanye
Mponela Finyanye :
Mungu anakupenda anataka umtumikie
2026-09-22 09:33:14
1
yezema.255
Yezema 255 :
hii siku ilikua fainali ya mapinduzi simba na mtibwa oyaaa cjasahau😳😳😳
2026-09-22 07:42:43
0
edfonce
@eddy@ :
Pole mm nimiongon mwa watu nilie fka sehem ya tukio kwaajili ya kutoa msaada ndio tulio waokoa
2026-09-22 15:08:35
1
ossman7660
ossman :
duh ndug yng zidish ibada me nilishuhudia ile ajali ila si mbao ni contena ilikua imebeba tairi ilitafuna lile basi upande mzima mbele mpaka nyuma
2026-09-22 09:00:36
1
vivienne.lulu.tim
vivienne timber :
jiran yetu alifariki alikua anaenda chuo dar
2026-09-22 20:36:54
0
stanza_tz
STANZA :
🥺 duh
2026-09-21 20:59:27
0
charls.belo8
belo charls :
pia ile ajali ilitokea mm nipo natoka tunduma naelekea nairobi kenya ndio Nafula mbeya mjini napigiwa simu kuwa jamaa yako kupata ajali kagongana na basi nimusaidie ilikuwaga sio mbao ilikuwaga kontena ndio ilio ziwa watu
2026-09-22 11:20:14
1
user2482501247006
davy_ze_best :
daaah..bro unanikumbusha me nilikosa siti..nikakata nganga..nafka naambiwa nyuma kimeumana..pole aisee..ilikuwa 2013..mwez wa nane hv
2026-09-22 22:59:54
0
anesimf
Anesi 💗❤️‍🩹 :
walikufa wengi balaa ile ajali siji kusahau na mm. mm nikiona basi lamajinja huwa silipandi kabisa
2026-09-22 22:53:48
0
rivalnavorn
Fakeshooter :
Pole Sanaa mkuu duuh
2026-09-22 21:48:06
0
glamora_tz
glamora_tz🌸 :
2015
2026-09-22 22:57:12
0
kb_hustling
KB_Bakayoko :
Nilikuwa shule pale kawawa JKT mafinga nakumbuka hiii
2026-09-22 21:42:16
0
mziwandasadock
Man Dosinga :
pole na hongera kwa uhai, nakumbuka story ya accident cz ni maeneo ya home kabsa.
2026-09-22 20:53:06
0
mr_android_mbeya
Mr android and car Accesories :
pale panaitwa Changalawe ...wakat huo nasoma chuo iringa nna safari ya kwenda makambako kwa mamdogo...sikwenda tena baada ya ile mbanga ya majinja..mwenyezi Mungu azilaze roho za wapandwa wetu mahal pema pepon..Amen🙏
2026-09-22 06:31:45
0
To see more videos from user @officialflashback255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About