@millardayo_: Moja kati ya tukio ambalo limeibua gumzo Mkoani Geita ni kutokea kwa Mkazi wa Kijiji cha Bukombe wilayani Bukombe anayefahamika kwa jina la Pawa Mabula baada ya kumuomba Mkuu wa Mkoa wa Geita, Alexander Mnyeti amjumuishe katika Kamati ya Maafa ya Mkoa kwa sababu ana uwezo wa kuzuia radi na mvua kimaajabu.
millardayo
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:20:11 GMT
Music
Download
Comments
Gyakie🤍 :
Geita kuna vipaji sio pesa tu 😂
2026-09-21 14:26:39
16
@Ayubmafriji TZ :
huyu jamaa ukute kamaanisha kweli
2026-09-21 15:07:52
8
Mr P :
Hii nchi sihami hta wakisema nikaishi ndani ya bank sikubali🤣🤣🤣
2026-09-21 14:25:39
12
@jking_tz :
Huu mwendo wake umenipa wasiwasi 😂
2026-09-21 15:49:19
1
DoroBee 🐝ᥫ᭡ :
Sasa mtu asiombe ajira jamani
2026-09-21 16:47:26
4
runaah :
Kasema yeye ana nini sijaelew
2026-09-22 05:17:50
2
Mr🇸🇪smile🫠 :
mtaalamu kabisa uyooh wa elnimo
2026-09-21 15:59:08
4
Choosen :
haya kataeni
2026-09-21 22:42:24
0
kisemesho254🤑🤑 :
kila moja atachanganyikiwa kwa wakati wake 😅😅
2026-09-21 14:59:23
1
_OFFICIALPÁŃĐÅ🐼 :
naondaka ifuatavyo msiseme nimelewa
2026-09-21 20:17:20
0
sïxtüs 🏋️🔥 :
watu tumevimbilwa aman 😅😅
2026-09-21 16:47:35
0
Shebby Makabila :
Millad unakutana na meng sana
2026-09-21 20:45:52
0
MTULIVU :
Imagine kizuizi kimepatikana na bado mnataka niogope Elnino😏😂
2026-09-21 17:11:19
0
DALALI WA JIJI RAMSO :
2026-09-21 17:02:14
0
Emmally Lincoln⛎ :
2026-09-21 19:02:53
0
de killer💥🌾 :
uzuri wa tz kilam2 ana haki yaku sikilizwaa
2026-09-21 17:16:32
0
Dorry🦋 :
brother Millard ayo mwambiee vido asiwe anaweka mahusiano Yako mtandaoni bhn so vizuri apige kazi
2026-09-22 03:31:51
0
꧁🔥𝑨𝑳𝒀𝑫É🔥꧂ 👑🔥 :
mhhhhh
2026-09-21 14:23:41
0
Dad's Travis :
tunakushuru sana kaka millard Ayo hujatuacha bega kwa bega mwamba apewe advance
2026-09-21 16:39:46
0
Captain sam :
Radi
2026-09-21 15:29:05
0
@Lightness Alex01 :
5/5
2026-09-22 08:17:39
0
lady kimwaga 🫅💯♥️ :
alivyo tembea nikamkumbuka mme wangu wa utoton na pombe zak jamn
2026-09-22 18:33:33
0
Wezombi Haujui :
tokea raisi ajichagua watu bado hawako sawa😅
2026-09-21 15:59:38
0
Ken :
Ni kweli, wazee wapo wenye teknolojia zao.. angekuwa amesema mzungu hapo angeshatengewa bajeti.. tuamini vya kwetu, kivyetuvyetu😁🔥
2026-09-21 15:42:10
0
bobby dazzler :
Imani bado kubwa
2026-09-21 14:25:30
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.