@shaaban_b.omar: Tuwapeleke shule #koran #biblia #waislamutanzania #islamtiktok #waislamunawakristo

Baba Haleema
Baba Haleema
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:26:14 GMT
7815
472
81
39

Music

Download

Comments

afrikasihami
Afrika Sihami :
Baba Halima akikujibu hakuna comeback.
2026-09-21 15:43:16
11
user8025773688855
sharon sharx :
mwalimu mimi ni mkristo ila mimi ni miongoni mwa wale wenye kukuelewa sana kwa wepesi nikiwa Kenya
2026-09-21 17:19:18
5
musa.masuo
Musa masuo :
Baba haleema.allah akuhifadhi
2026-09-21 18:06:53
3
swalehabdulrahma5
Swaleh Abdulrahma575 :
Allah akulipe kheri na akupe wepesi maana unafanya jihadi kubwa
2026-09-21 15:12:39
6
faiz.mohamed49
faiz mohamed :
wape elimu.nakukubali sana baba haleema.Allah akuhifadhi..
2026-09-21 15:01:16
2
shebamwambiga
Sheba Mwambiga :
Jamani tuilinde Imani yetu Wakristo.
2026-09-21 19:20:37
1
kikaph512
@ :
Nahisi kwa hapa wakristo wameelewa.
2026-09-21 17:59:59
0
hm8419377
Official@漢斯 :
kwasababu uislamu ndo dini ya viumbe wote
2026-09-21 16:01:53
2
buchuqawqal
Hamza Buchu :
Hawawezi kurudi tena. Wallah naomba namba nichangie mb
2026-09-21 16:47:55
0
jamie_st_patrick
Nasser Yussuf :
Maasha Allah.. Allah akubarik akupe umri mrefu wa uzima na afya maalim wetu
2026-09-21 16:01:23
2
hijja96
Hijja :
kwasababu dini moja MUNGU MMOJA NI WOTE WAISILAMU[Pray][Pray]
2026-09-21 15:55:30
2
mohammedhamza_0
mohammedhamza177 :
Ma sha Allah! tabaraka Rahman! somo zuri sana, Mola akuzidishie ilmu uzidi kutufunulia na sisi
2026-09-21 16:24:56
2
jamal51992
أبو محمد :
kwa mara ya kwanza nimetazama video yako mwanzo mpaka mwisho na nimepata elimu kubwa sana جزاك الله خير
2026-09-21 17:30:40
1
nassorhaji935
nassorhaji935 :
Mashaallah mwalimu umewamaliza hawaji tena
2026-09-21 15:29:56
1
jaymus779
jaymus :
Kwani walio uliza swali wako wapi?
2026-09-21 17:03:02
1
rashidanjigale
Irshaad :
Hakika umewasafisha akili
2026-09-21 17:32:08
1
user6545227306968
allymayai :
mashaallah ALLAH AKULIPE
2026-09-21 15:07:07
1
ramadhani__kingalu
ramadhani kingalu :
Allah akuhifadhi sheikh wangu na akulipe kwa kila elimu unayoitoa hapa
2026-09-21 14:42:42
0
yusuphrashid47
wisreey :
Kwan Kuna majina ya waislam na wakristo
2026-09-21 19:41:04
0
user3217422844248
Mrs. Ochu OG :
Safi sana mwalim umewajibu vizur sana. Masha Allah🥰🥰🥰
2026-09-21 17:57:18
1
mr.ali.ayoubo
Mr Ali AYoubo :
MUNGU AKUWEKE
2026-09-21 21:01:34
0
maevaa475
m.aëvaa 🦋 :
mashallah wape somo hao mwlm hlf watachagua wenyew ukiristo au uislam
2026-09-21 20:35:11
0
tevathedon
Teva thedon🇹🇿 :
we shekhe mungu akuzidishie
2026-09-21 22:12:39
0
user5336530875378
AHMAD :
sichoki kukusikiliza mwalimu, mashallah, Allah akuweke sana
2026-09-21 21:33:24
0
said_sdby
star sd by :
MashaAllah alhabibi🙏🙏🙏
2026-09-21 15:00:24
0
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About