@bongoplugtz: #bongoplugtz

Bongo Plug
Bongo Plug
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:27:51 GMT
63027
5068
119
240

Music

Download

Comments

jamali.emmanuel
Jamali Emmanuel :
Fact broo
2026-09-25 01:49:51
0
efransia6
sia cute :
alfu ukisema tuachane anakwambia kuna mahali nimekwambia sikutaki jiamini
2026-09-22 07:00:00
25
sydneygirl02
Sydney girl02 :
ila moyo wangu unamuhitajii
2026-09-21 18:47:19
12
user4198260582409
Anisha :
kama nikimuomba hela ananipa je nimuache pia
2026-09-24 02:46:07
4
blacksugar184
black sugar :
izuri mmoja huwa inafika point mapenzi inaisha😂😂😂😂
2026-09-23 15:37:19
4
www.tiktikolite
𝗔𝗡𝗚𝗘𝗟❤️😘 :
mbon Kam unaniongelea mim kaka ata mim ndo nnayo yapitia hayo😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-25 19:19:26
1
kibua.tz1
KIBUA💞TZ🇹🇿 :
Mimi nimemuacha bwana aende Tu mungu ana Watu wengi nitapata
2026-09-23 07:06:55
3
neemaibrahim656
sauka yasini :
wangu Mimi ndo nalazimisha mapenzi Hadi kanitamkia ww sio sahihi kwangu ila Sasa ananipa ela apo nifanyaje jamani ila anipendi kweli ananifanya kama taira flani ivi ila ela ananipa
2026-09-25 09:21:51
0
reggy4606895538
Regy abel :
me niko zangu bize na lips na macho😘🥰
2026-09-24 20:16:42
2
halimakambi992
Ramuziy kalu :
wajua umenisaidia pakubwa kaka
2026-09-22 10:23:40
4
mwajuma.wacwa
Mwajay 🇨🇩🇹🇿🇨🇦 :
Kaka apo ndo nashindwa nishamwambia mara kibao tuachane mm uyu uyu tena namtafuta mungu nisaidie baba 👏👏🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️
2026-09-22 23:18:59
1
user1884776219079
X-tine Tash :
nipo single na nataka mtu
2026-09-24 23:02:39
2
mr.talksense0
𝑨𝑵𝑻𝑬𝑫𝑰𝑳𝑼𝑽𝑰𝑨𝑵💫🧭🚧 :
🥹
2026-09-23 16:23:45
2
bossladymariam7
Boss_lady_Mariam :
mpaka rafikiake ambae nilihc atatuungansha leo kanambia nimpe mda nampenda sana na wanajua ila nimpe mda wataongea nae😏
2026-09-23 13:57:34
1
mishmishi02
mishi mishi 🌹❤😘002 :
hali yangu kwa sasa but itaiidi nimwache
2026-09-21 18:44:04
4
tatumwita112
Tatu Mwita :
me ata sisikilizi unacho ongea sijui nawaz nini
2026-09-23 19:26:47
2
chummy6812
🦋🎀chummy💦💦 :
2026-09-22 08:16:10
1
kid_posh8
🫅 :
😭😭😭😭
2026-09-23 09:55:31
1
evansmwenda941
Evan Evan :
yes
2026-09-22 04:15:03
2
lizzy.madeko
Its chuchu🦋❤️ :
Tukajenge taifa tu
2026-09-23 10:11:03
1
amina.aruna2
Amina singe :
my situation for now afu nampenda daah: inaumiza sana
2026-09-22 07:38:13
1
user3090163296179
Nailath :
ndo nilikuwa mm lakin alinifukuza kwa kunidhalilisha sijui nitapona lini
2026-09-25 13:23:20
0
loypetro
Loy Petro :
umenifanya nilie nataman kuondoka lakini wanangu wataiashijee ila nimechoka😭😭
2026-09-25 14:51:42
0
sheina1056
sheina :
kweli kabisaa
2026-09-25 14:01:14
0
gips89
@officialsarah 006👑🥰 :
😭😭😭Nimejaribu hila naisi nimechoka sasa💔💔
2026-09-25 23:06:34
0
To see more videos from user @bongoplugtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About