@hmahalu:

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:34:43 GMT
116733
5183
881
461

Music

Download

Comments

sarahbenedctor
sarah♥️♎💫 :
mama ninaye lakin nikama Niko yatima 🥺🥺🥺
2026-09-21 20:03:28
350
omarabdlurasu
king_omar :
Sikubaliani na wewe hata kidogo
2026-09-21 19:24:43
114
mimah.harith3
Mimah Harith :
Nani mwingine ambaye mama yake yupo Hai lkn anajihisi ni km Yatima 🥲😭😭😭😭 km hayaja kukuta huwezi kumuelewa huyu dada.
2026-09-22 07:13:15
162
missnuruh3
missnuruh3 :
Mimi ndo maana huwa sipendi kujielezea kwa mtu maana watu wananiona mm mbaya kwa sababu tu simpendi mama angu ila deep down simpendi hata kidogo kwa sabb nna uhakika na yy hanipendi..mm nishamuota mara kibao tena ndoto mbaya afu kwenye maisha ya uhalisia yanatokea
2026-09-21 18:15:06
92
najmaseif495
Najma Seif :
me mnitoe kwenye Hilo kundi mama angu ananipambania sana bila yy siwez 🥰🫂
2026-09-22 06:13:02
74
jacky.jack08
jacky :
ila Mungu ni bora tuu usingenipa hii kitu inatwa chosen one😭😭😭 haya majaribu jamani tangu utoto wangu hadi leo.ndo nini sasa😭😭
2026-09-21 19:37:46
42
tishi3127
Tishi Kimwaga :
hii video umeniwekea mimi we dada 😭😭😭
2026-09-21 17:21:26
31
dssm48
@DSS :
Ware wote wanaopitia magumu sababu ya wazaz 😭🥺 njoeeni apa kuna gloup lety tujipende zaidi na sooon tutatoka out yety tusali , tuachilie , tu kubali ukweli , tuijoy , tu badlisha mawazo .ILA UWE MWANZA AU KAKB NA MWANZA .🥰 Njoeeni vipenzi tuko weng tu naota man mama wa waty ila tunalilia ndani t
2026-09-21 22:29:09
6
skyc088
adriaarc :
mamaangu tangu mdogo alikua akinigawa kwa watu,nateseka hajali,nmepitia mengi jmn had umri huu🥺yaan Kuna darker alikuaga mganga nikaumwa akanifanyia sherehe ya kukabidhibiwa kwa majini et ndio nkae jwake huyo ndugu,mama yupo hukooo na hakua na mtt mwingine,yaani watt wake 4 alozaa na mumewe ndio watoto mimi hua km mkubwa mwenzie.Sijui nilimkosea nini.Baba nae majanga tupuuu kuelezea siwez mwenzenu,na sijui kweli
2026-09-21 18:52:14
20
pdacharmgirl
pdacharmgirl :
Kwenye mahusiano sasa uwii tunapataga wanaume wabnafsi halaf yanapataga hela kupitia cc ila shukuran haina na Hawatak kukuinua wakijua utawakimbia 🥺wabinafsi aisee na ukikuta familia yenye uchaw uchaw utachukiwa ujute 🙌
2026-09-22 02:01:26
16
bellahjahsen
bellah :
mimi angu nampenda lakini ananianika hakuna siri kila kitu changu watu wote wanajua
2026-09-22 15:01:38
11
alfaruucmakame
Alfaruucmakame :
Mimi mama Angu Ataki hata Kuniona
2026-09-21 14:47:57
10
fathersdaughter39
CYN59 :
nishajizoelea mie akicheka nacheka akinuna niko busy na maisha yangu
2026-09-22 04:28:07
19
rose.kilasa
Rose kilasa :
jaman niliota mama ananiomba msamaa ila kesho yake akatuma wadogo zake wamuombee msamaa. ila nikikumbuka alitaka kunitoa tumbon na ananiambia kabisa nilitaka mimba yako itoke nashikwa hasira
2026-09-21 17:47:27
5
augustusjuma
sr Juma :
mbona unaniogelea aki,,
2026-09-21 19:05:27
8
maya655622
MAYA👸💫💜 :
Ukichunguza sana huyu dada kaongea ukweli mtupu. sio kwamba tunawachukia mama zetu no. Lakini kama ni wewe choose one kuna baadhi ya vitu usiongee sana tuishie tu hapo 🙌🙌
2026-09-23 05:52:29
5
therise83
The rise medical equipment :
Hii video kwann imechelewa kunifka🥺
2026-09-22 06:28:39
5
missnuruh3
missnuruh3 :
Mbona hata mimi nilishawahigi kuambiwa mizimu ya baba angu ni mikali ila ckuwa naelewa maana sikua nimeamka..ila now nilivyoanza kujitambua ndo nnaelewa..mm mama amewahi kuninyonga amewahi kunichoma pasi hadi leo nna kovu ambalo haliishi na huwa ananiambia sikupendi kama nilivyokuwa simpendi baba ako..oyaaaa nyie msikie tu hiv hiv ila usiombe yakukute uwe kwenye vita alafu adui yako no moja ni mama ako aisee hakuna rangi utaacha ona🙌🙌😩
2026-09-22 05:26:04
12
veesha_homedecors
veesha_homedecors :
Wallah nipeni kiti niwasimulie💔💔 mpaka sasa sitamani kabisa kwenda nyumban
2026-09-22 03:04:27
47
furaha.halisi3
Furaha halisi :
ni kweli mama alinifunga nisizae miaka mingi juz ktk maombi ndo nimejua kumwambia kakubali na kanifungua
2026-09-22 05:35:14
8
veronicamassa20
Vee❤️🍎 :
Jamani poleni sana🫂🥰Nashukur Mungu kwa kupata mama bora hapa dunian🙏🏻🙏🏻🙏
2026-09-21 21:46:55
27
tishi3127
Tishi Kimwaga :
sijui niongee kwakusimama au kwakukaa😭😭😭😭 Mungu nisaidie jamani
2026-09-21 17:20:10
7
eva.charles.kigah
Eva Charles Kigahe :
natamani kulia sijui nikupe namba unipigie nikuelezee kitu labda nitapona wallah naumia sana
2026-09-22 08:43:11
8
user8724385820244
Aisha Mushi :
Mimi nikikaa karibu nae anapata shida Sana anaweza kuumwa homa hiyo na hataki kuwa karibu kbs na mimi
2026-09-21 19:08:12
5
silvanusnyangi
MR. Casio :
wazazi ndo wanaturudsha nyuma nlimpa mama mtaji mata tatu yeye business inakufa tu nkikwama ananikataa
2026-09-21 21:26:45
11
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About