@abdulhafidh575: 💭

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:36:22 GMT
22092
1877
77
108

Music

Download

Comments

user2000568348552
chala :
ASANTE SANA ALLAH AKUBARIK NILIWAHI KUOTA NASOMA TENA KWA SAUTI
2026-09-21 15:08:38
9
mrs_afellay
Salma chama💞 :
juzi kati niliota wanga wameingia chumban kwangu nikakosa nguvu mwili mzima niliisoma zaidi ya mara100 kw wakati mmoja 🥺
2026-09-21 15:33:39
8
pretynanaa_bintstumai
cutee :
me mara zote naota nasoma aya hii ya ktk suratul.yaasin n inasaidia nawashinda maadui zangu
2026-09-21 17:23:25
2
4lrodl
4lord :
Mimi nilikuwaga naota ndoto mbaya mpaka nilipoanza kusoma Ayatul qurs
2026-09-21 16:30:40
2
wamaithaf
wamaitha :
wakati nikiwa mjamzito niliota nimeenda kujifungua nikafika hospital kabla ya kupanda kitandani nikasoma ayatulkurs na kufanya istighfar na kumswalia mtume na kusoma dua ya nabii yunus nikapanda kitandani nikajifungua... na siku ya kujifungua nilifanya hivyo sikukaa hata masaa nikajifungua
2026-09-21 16:23:59
2
mrsism3
Mrs Ismail :
Walai mm niliisima hii kutu usingizini kwanza niliona vitu vitoka yaajini niliamka na kuchukua udhu. nilimswalia mtume
2026-09-21 17:12:22
1
baluch483
Baluchi one :
asante
2026-09-21 16:06:41
0
ishrat.salum
Ishrat Salum :
ukiota unasoma adhkar kama kinga yako je mfano bismillahi laa yadhurru maaismiji ,,,,
2026-09-21 15:41:07
1
user5067698773527
user5067698773527 :
hata mi naotaga sana nikibamban na vit viby usiku mpk nashinda nasomaga yasiin, alamnashrahkh, ayat kurusiy, falak ikhlas na nnas yaan kam nimenuiliwa ubaya wallah haunipat🥰
2026-09-21 17:56:07
0
masai_nyeupe
masai nyeupe #leiyanwajiya :
je ukiis9ma wamakaru wakara llahu wqllahu khayru maakirin
2026-09-21 17:30:52
0
mwanaidiismaili63
msingida :
niliota mwezi ulio pita naniliamka hapo hapo nikaendelea kusoma naipenda sanaa
2026-09-21 17:56:59
0
missesha19
Esha_lengesha :
mimi nilikuelezea ndoto yangu kaka katika post iliyopita ila hukunijib
2026-09-21 17:46:16
0
mamuo03
Mamu🦋 :
Me yasin lkn siijui yote najua kidogo tu
2026-09-21 18:30:04
0
aishawawuda4
Aisha :
shukrani
2026-09-21 17:53:44
0
dyda831
dyda :
ustadh mm niliota ndoto mbaya sana niliota nimefungwa km mzigo wa kuni wakati naingia chooni kuna watu walinikamata na wakanifunga bc nikasoma hiyo ayatul kursiyyu tena kwa madaha bc zile waya nilofungwa nikaanza kungunguka moja moja wallah kweli aya hii ni maajabu
2026-09-21 18:12:37
0
user6168040339252
user6168040339252 :
mm naota nasoma lailahallah
2026-09-21 17:48:39
0
user8725285532800
Nasha_benz :
mara kibao naiyota nanapenda kuitumia ila hapo kwa idadi ishaallah nitaifanyia kaz
2026-09-21 17:49:27
0
washawasha016
jannat :
lakini uwe na mazoea ya kuisoma. ndo unaiota. sheikh waambie
2026-09-21 14:46:16
0
yusrahmo
Innahmaali :
Kabisa me ndio dua langu kubwa kinga mujarrabu
2026-09-21 17:02:17
0
kara.salamata
kara salamata :
nishawai kuota nasomea mtu surat fatiha nikiwa nimemshika kichwa ila kwenye ndoto ilikuwa naona nasoma kisomo cha ruqya ikoje hiyo sheikhe..
2026-09-21 18:35:13
0
amnesaleh8
amne :
Shukran saaana allah akulipe kher
2026-09-21 17:07:38
0
hande_ilyas
Hande_ilyas :
mara.nyingi sana naota hii half najuta najilazimisha kuamka
2026-09-21 17:14:05
0
fatumaali192
Fatuma Ali :
Allah Akbar
2026-09-21 17:20:13
0
mamu254
Mariam :
Shukran Ustadh
2026-09-21 17:19:40
0
dyda831
dyda :
na pia naitumia sana wakati natembe njiani hata km usiku wa manane bc nakuwa cna khofu au nikipanda combo chcht alhamdulilah
2026-09-21 18:14:13
0
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About