@adamseiphkawambwa: 10. Mbuzi (Capricorn) | 22 Desemba – 19 Januari Kiafya: Mifupa, viungo (magoti), meno, na ngozi. Matatizo ya rheumatism, maumivu ya magoti/mifupa, na matatizo ya ngozi. Hasadi na Vifungo: Vifungo vya vyeo, biashara, na uzee. Husadiwa wanapopanda ngazi za kimaisha, na hupigwa na vifungo vinavyofanya juhudi zao zisizae matunda au kukabiliwa na vikwazo vingi vya kisheria na kifedha. 11. Ndoo (Aquarius) | 20 Januari – 18 Februari Kiafya: Miguu (sehemu ya chini ya goti), vifundo vya miguu, na mfumo wa mzunguko wa damu. Matatizo ya mishipa ya damu (varicose veins), ganzi miguuni, na matatizo ya akili/wasiwasi. Hasadi na Vifungo: Vifungo vya kujitenga na kukataliwa. Husadiwa kwenye mawazo yao ya kijasiri na uwezo wa kipekee wa kufikiri, na mara nyingi vifungo vyao huwafanya wajione wako peke yao au watengwe na jamii. 12. Samaki (Pisces) | 19 Februari – 20 Machi Kiafya: Nyayo za miguu, mfumo wa limfatic (lymphatic system), na mfumo wa kinga. Matatizo ya kuvimba miguu, aleji, na kuathirika haraka na mazingira au sumu. Hasadi na Vifungo: Vifungo vya magonjwa ya kiroho, majini ya ndoto, na ndoto mbaya. Kwa kuwa wana milango wazi ya kiroho (sensitivity), ni rahisi sana kunasa athari za jicho baya, uchawi wa ndotoni, na vifungo vya kihisia. By MAALIM KAWAMBWA CHANIKA DSM kwa msaada zaidi au kuuliza +255782053020
MAALIM KAWAMBWA
Region: TZ
Monday 21 September 2026 14:55:29 GMT
Music
Download
Comments
🖇️ :
pisces100%
2026-09-21 20:19:56
2
🌹isher dela tore🦋 :
mm ni Capricorn na ninasumbuliwa na vitu vyote ivo
2026-09-21 19:57:19
3
Mkemia Official :
Uwongo nimeanaglia tarehe ya kuzaliwa na mwezi, matatizo uliyoyataja sina na sijawahi kua nayo
2026-09-21 20:00:31
3
@Trevor :
mm no pisces nateseka sana na miguu asee
2026-09-22 01:48:55
0
innah🥰😍 :
Mbona kama ni kweli 🥺🥺
2026-09-21 20:14:16
0
Silent tears💔🥹🙌🏿 :
29hatuna shida😂😂
2026-09-21 22:18:34
0
Cute Mi🦋🦋 :
me ni ndoo na hayo maradhi ndio yananisumbua na umri huu
2026-09-21 19:34:39
0
Dickson Nyamkamka :
shee me naomba namba yako bas
2026-09-21 17:03:15
0
happy wambi :
mi tu hapa.navimba mguuu hizo arej ndo usiseme
2026-09-21 20:03:25
2
To see more videos from user @adamseiphkawambwa, please go to the Tikwm
homepage.