Sijui Yuko wapi Huyu mtumishi nyimbo zake nazipenda
2026-09-22 05:46:51
23
Happy Furaha 🙏🙏🧎♀️ :
Ameeen and Ameeen
2026-09-22 11:13:41
0
officialbaraka2 :
asante gospel legendary Medrick Sanga❤️❤️
2026-09-22 13:43:58
1
Rose Joseph :
🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏 miss you shem
2026-09-22 20:48:31
0
Udaaahh :
Msalimieni sana jmn tulimmsi kwely jmn
2026-09-22 13:51:05
0
trisherleah1 :
MBEYA tukikosekana mbingun bas mikoa yote kwisha😃🥳🥳
2026-09-22 13:54:53
6
mama girls :
hii kwaya ilikuwa fire..Makongorosi chunya
2026-09-21 16:26:36
13
Pela :
waooooh
2026-09-22 17:46:11
0
hom boy :
uyu mtumishi yupo kwel jaman
2026-09-22 08:30:54
2
Joe 🇹🇿🇷🇺 :
Enzi izo x-max 😁😁😁😁 aloooh sema wahenga sisi tumetoa mbali sana
2026-09-22 14:01:47
2
teamderick :
jamani kama u jirani w medrick sanga mwambie aweke nyimbo zake YouTube. Sis mashabiki zake tunampenda sna 🥺
2026-09-22 12:13:06
3
Moreen :
Tulikuwa tunalipia 200 naingia kuangalia mpka usiku ukitwa nd bas
2026-09-22 10:06:53
3
Machachali Lucas :
uimbaj wazman ulikua vzuli
2026-09-22 13:04:33
2
Rachel Dressing’s 👗👗👚 :
Uwezi wa elewa hawa kma ujazaliwa miaka yetu mbeya 😂😂😂
2026-09-22 03:14:05
5
Viva💫 :
Kwani uyu yupo wapi saivi 😳
2026-09-22 14:51:47
2
pilato wa helode :
huyu jamaa anitwa medrick sanga ni mzaliwa wa mkoa wa njombe wilaya ya makete ni mzamiaji wa mbeya sana sana na alikua mwimbaji mzuri sana kama mwana mke, kama ule winbo "mapambono yandeleeeeeea na vita ni vikaliiiiiii bendera ya yesu yapepea tunasonga mbele
2026-09-22 06:41:03
1
tuombemathew :
Mungu akubaliki nimebarikiwa
2026-09-22 06:53:27
2
neema99169 :
jmn huyu Kuna wimbo unaitwa haa niwe naimani iliyotimilifu kama Sina upendo sawa nabule,anaitwa nani huyu naomba kujua
2026-09-22 11:14:54
0
rachelmakota :
nampenda sana siku zote nyimbo Zeke zinafanyika upya Kwa utukufu wa Mungu
2026-09-22 08:16:44
2
user41424178877490 :
Ameeeeeeeen
2026-09-22 05:28:05
1
Masanyiwa Oliver :
nyimbo za huyu mtumishi mama angu alikua anazipenda sana enzi zile daaaaaaah!
2026-09-22 14:11:46
1
asunta :
naomba wimbo wa zamani chunga ulimi
2026-09-22 13:18:18
1
Jonah Rotich :
amen 🙏🙏🙏
2026-09-22 05:26:37
1
John :
Ubarikiwe sana mtumsh wa mungu
2026-09-22 06:17:59
1
To see more videos from user @peniel011, please go to the Tikwm
homepage.