@dw_kiswahili: ''Tuna kadi zaidi ya milioni mbili za NIDA ambazo hazijachukuliwa- James Kaji.'' Tazama sehemu ya mahojiano ya DW Kiswahili na Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (NIDA) Ndugu James Kaji. Hapa anazungumzia watu walio na namba za NIDA lakini hawajafuata kadi zao. Unaweza kuyatazama mahojiano haya kwa urefu kuhusiana na NIDA katika chaneli ya YouTube ya DW Kiswahili. #DWTunavuma #vumakwakishindo #DPI #technology

DW Kiswahili
DW Kiswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 15:02:39 GMT
82153
2381
169
149

Music

Download

Comments

baby.kaerl
baby kaerl :
Waongo tu hao mtu umejiandikisha tangu 2021 mpaka mwaka huu kitambulisho ukienda unaambiwa bado sehemu nyingine unaweza usipate huduma kisa kitambulisho sijui wapoje kwanini wasiweke mfumo kama kitambulisho cha kura unapiga picha na unapatiwa hapo hapo yaani mifumo yao mibovu sana
2026-09-21 15:45:44
31
teddy.alfredy
Teddy Alfredy Music Official :
Barua kwa mtendaji wa kijiji 30 ya kukata cheti cha kuzaliwa Mbona wale wa mwanzo hamkudai cheti cha kuzaliwa? Tulegezeeni mashart tunatamani kupata ila mrorongo ni mrefu sana
2026-09-21 18:46:20
4
makesventure
TIFFUH BOE🥷 :
kadi zina utambulisho wa mkoa aliotoka na wilaya kwanini hao walio tafutia mikoa tofauti kadi zao zitumwekwenye mikoa yao watafatilia mikoani kwako me siwezi kwenda mafinga kisa kadi ifungieni nitatafuta nida nyengine
2026-09-22 04:06:29
2
annawilliam4205
Catherine :
Uongo mtupu nishachoka bora najijua mimi mtanzania mna nyodo kibao huko maofisini
2026-09-21 17:55:10
1
kipwaka
kipwaka jr :
Tatizo sio watu hawataki kuchukua kadi tatizo ni utalatibu wa kuchukua ambao haupo sawa ,unfamiliar kitambulisho unaambiwa bado na umejiandikisha muda mlefu sasa tatizo ni sisi wananchi kweli ?wangeweka ylutalatibu kwamba kama kitambulisho tayari watume sms to kwa watu wakachukue au waweke utaratibu ambao utakuwa ni rafiki kwa wananchi
2026-09-22 04:41:56
1
kenzochuga
kenzo-🐐 :
Sasa Kuna sisi tulipo ni tofaut na tulips kuwa mwanzon tunaipataje
2026-09-21 17:17:33
1
lolywizz
@lolywizz :
kuna mahali pakuweka voice jamn maan hizo kadi toka 2022 na hizo message hatujazipata
2026-09-22 12:50:13
3
sananefranktz
Sanane F. R. :
Ziko wapi tang 2020 nimezunguka kata zote hakuna waandika jina hawaioni jamani
2026-09-21 17:42:30
5
fammybabe42
ᥫ᭡ 🩶Fammy bâbé ᥫ᭡ 🤍🧸🌸 :
kitambulisho cha kupiga kura unapata siku hio hio...kwanini nida pia usipate sku hio hio kadi inachukua mwaka na ukiend unaambiwa bado..mnatuchosha
2026-09-22 06:52:11
2
charls.belo8
belo charls :
kuweni wakweli sio sababu hiyo kadi zilikuwa hamuna
2026-09-21 17:15:55
1
dianne.hendrk
Dianne Hendrk :
na kinachofanya mtoe number ni Nini toeni kadi na number hapo hapo na kwanini mllolongo ni mrefu tz bwana kila kitu shida
2026-09-22 04:40:27
1
user5022030740410
user5022030740410 :
ukifika nida wa nakwambia akuna Mimi mwaka wa 10 Niko na namba tu
2026-10-01 04:52:39
1
msangipesa
msangipesa :
Acheni ubabaishaji kadi nimepewa haijamaliza hata mwezi nimeweka kwenye wallet siku naitoa imefutika maandishi yote!
2026-09-21 16:22:39
1
obsyric
☆ :
watufanyie delivery
2026-09-22 15:19:30
1
magdalena23067
0656329518 :
weeeh waseme ukweli mwaka sasa kila nikienda hikijatoka nachok mm
2026-09-21 19:28:07
0
naser69said
this time will pass :
mm mpak leo sijapata
2026-09-21 16:26:25
0
john.gwangway1
John Gwangway :
Mimi tok 2016 hadi leo cjui napataje
2026-09-22 07:28:28
1
360saka
360k :
Mlizichelewesha sana tukaziacha
2026-09-30 11:23:06
0
adelitusmathias
meyden mugogo jr :
kuna tatizo hap mimi sai nipo songea af kadi ipo kigoma kwanini mtu asichukue popote alipo
2026-10-03 19:22:34
0
mannasse999
Steven manasse :
miaka mitatu
2026-10-06 18:29:48
0
lovely.isaka
God's Girl✨️ :
mm tangu 2023 paka leo kila nikienda naambiwa kitambulisho chako bado akijatoka 😳
2026-10-08 14:36:39
0
mannasse999
Steven manasse :
mh Mheshimiwa kuna matatizo makubwa kwenye upataji wa kadi
2026-10-06 18:29:32
0
fatma.bakari633
❤️Fetty kidot ❤️ :
Mimi nataka kubadilisha jina jmani naombeni mnisadie watu wa nida🙏
2026-10-04 11:41:00
0
selle_man
Selemani Nicholaus :
Nina kadi ya NIDA lakini imefutika baadhi ya maandishi nifanyaje??
2026-10-04 05:47:22
0
mohamedjof2
geofrey Mohamed :
kadi zinachelewa sana
2026-09-21 16:30:27
0
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About