@chiefgodlovetycoon:

chiefgodlovetycoon
chiefgodlovetycoon
Open In TikTok:
Region: UG
Monday 21 September 2026 15:02:49 GMT
25636
1670
348
68

Music

Download

Comments

rachel.w834
Boboo :
I will choose peace
2026-09-22 21:13:08
1
muzdalfa6434
muzdalfa6434 :
pesa amani achia karume
2026-09-22 20:53:45
6
user3681104010246
Aiem hester💙💙 :
amani ya moyo ndo kila kitu kuliko pesa za wasi wasi
2026-09-21 16:26:41
41
kibena537
KIBENA53🛩🛩 :
amani ya moyo tujuene
2026-09-21 21:13:09
28
pascalfalala
~pascal,$100 :
aman ya moyo
2026-09-22 18:07:04
1
user21876138798532
h j s :
tunaosema bora amani ya moyo tujuane
2026-09-21 17:34:10
47
abhubakal
shaban :
money is everything
2026-09-21 15:22:50
1
mdezojohn
Mdezo John :
why would you gain the whole world and end up losing your soul
2026-09-21 17:29:30
4
flavinana193
flavinana193 :
kwanza pesa ndo amani ya moyo
2026-09-22 16:01:45
2
getrud525
Getrud :
MUNGU ni amani ya moyo tosha
2026-09-23 09:28:34
3
choloe845
choloe :
Bro kwa upande wangu niwe mkweli amani ya moyo ndo kila kitu kwangu
2026-09-23 11:02:08
2
neem.beby
beby ney💕💕💋 :
kak anatesek hu pole san mung bad yupo
2026-09-23 09:20:24
2
user8131233781104
Jeff Don🇰🇪 :
chief mm pesa
2026-09-21 17:49:01
0
latifamodric270
Latifa Modric :
aman ya moyo
2026-09-21 15:14:18
15
irenesam3
Irene cosmetics 💄 :
bila pesa natoa wapi hio amani ya moyo😂
2026-09-22 15:10:36
2
zubeboy4
kadinde4 :
umeweka mtego Mimi nitachagua mungu mana yeye ni yote zaidi ya yote mana imeandikwa mjue sana Mungu iliuwena amani ndipo meme yatakapo kujilia pesa na Mali navyote viijaza nnchi nimaliyake nawatu wote waseme amina
2026-09-22 21:47:34
2
suma.gaspar6
suma.gaspar :
Amani ya MOYO
2026-09-22 09:06:13
1
martha.eliud5
Martha Eliud :
amaniya moyo siyopesa
2026-09-22 07:53:28
1
kelivini.zabloni
Kelivini Zabloni :
pesa zisipokiwa na masharti ntachagua pesa ila zikiwa kama izo zako Bora nichaguwe amani ya moyo
2026-09-23 09:31:48
3
fakirhassan729
Fakir Hassan :
sasa Mimi natafuta pesa ndo nipate amani ya moyo.kwani ni vipi majamaa🤔??
2026-09-21 15:58:43
4
sedrick.sedjo5
Sedrick Sedjo :
pesa , ndo ina leta amani ya moyo
2026-09-22 18:05:41
1
rain.bless2
Rain Bless :
Nilisha wai kosa amani ya moyo Kwasababu ya umasikini nikahisi nikipata pesa nitapata amani nikaenda kukopa pesa nifanye biashara nahiyo pesa kila baasa ya mwezi mmoja nirudishe kwa riba ilinitesa mpaka nikaona bora ninge vumilia kutafuta pesa yangu nifungue biashara kwa pesa yangu kuliko hivi naonekana nina biashara nina pesa lakini kumbe sio zangu na sina amani simu ikiita kidogo najua mwenye pesa yaani in short Pesa ya shetani Haina Amani Kwaiyo Bora Amani kwanza
2026-09-21 20:36:03
3
user2126521080547
Prisca :
Aman ndo kilw kitu pesa na hakuna aman za nn sasa
2026-09-23 07:30:32
1
joshua.ndayikeje
Joshua Ndayikeje :
kwanza Aman ndo nin? oy tusijifiche kwenye maneno yawakosaji aisee hakuna Aman bila pesa nivile2 Sina hizo pesa au kama Kuna mwenye pesa anipe tubadilishane nim,pe Aman
2026-09-22 15:54:16
1
To see more videos from user @chiefgodlovetycoon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About