@sisi_estate: 🚨 KUWA MAKINI! DALALI HAKUKUAMBIA HAYA 😂 Kabla hujanunua kiwanja, ongeza umakini kidogo… maana unaweza kukutana na mambo haya: 😂 Mwenye kiwanja hana shida ya haraka, lakini anauza kwa bei ya chini sana! 😂 Mwenye kiwanja anauza kwa siri na hataki watu wengine wajue! 😂 Mwenye kiwanja hataki mwanasheria ahusike kwenye mchakato! 😂 Na cha kushangaza… kuna mtu mwingine naye anakitaka! 😂 Usikimbilie bei nzuri bila kufanya uhakiki wa umiliki, nyaraka na historia ya kiwanja. Ardhi ni uwekezaji mkubwa—kuwa makini kabla hujaweka fedha zako. 🏡🌍 📍 Unatafuta kiwanja salama Arusha? Karibu SISI Estate — tunakusaidia kwenye mchakato wa kupata kiwanja na kufanya uhakiki unaohitajika. 📞 0746 100 023 #sisiestate #arusha #arushatanzania🇹🇿 #kiwanja #nunua ArdhiSalama RealEstateTanzania

SISI ESTATE LTD
SISI ESTATE LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 15:19:27 GMT
79589
3070
59
237

Music

Download

Comments

maltin098
MARTIN :
mbona kama mi tayari nishapigwa[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-21 19:30:21
8
d_masanyika
D Masanyika🧠👊 :
Hii Clip Imechelewa sana wakuu😣😥
2026-09-21 22:12:31
35
usinunejdu
usinune 001 :
good ndio mule mule kaka
2026-09-21 19:28:32
10
hilarymohammedi
mohd :
nilipigwa mwakan2018 kwa staili hiyo milioni 12 kongowe mpka Leo sijanunua tena wale madalali walinambia hivi hivo dah nilichamganyikiwa hela yangu sijaipata tena
2026-09-30 03:45:42
1
cassy1gamer
Cassy1Gamer :
kiwanja cha nini
2026-09-21 22:28:51
6
choloboybriz3
choloboybriz :
baaaas nimekwisha mimi😂😂😂😂😂🙌
2026-09-22 08:14:41
3
doto_dalali_tanga_muheza
DOTTO DALALI :
APANA MIMI KAMA DALALI NAKATAAA APO KWENYE SWALA LAKUSEMA ANASHIDA YA ALAKA AU APO KWA SILI NAKATAA KWASABABU SOKILAKITU WATU WAJUE WEWE NJOO NAWATU WAKO MWANASHELIA WAKO KAZI ZIENDELEE MIMI KAMA DALALI NAKATAA KABISA
2026-09-22 08:56:48
2
ibulemo
ibulemo :
Mwenye kiwanja yuko mbali ameshanikabidhi nyaraka zote, kwa hiyo malizana na mimi moja kwa moja akuna tatizo
2026-09-22 05:42:35
10
user5056559705228
tiger :
una alibu cod mwanetu
2026-09-22 05:35:40
3
user4187932846363
GOOD GOOD :
i see
2026-09-26 21:05:28
0
jackiema16
JackieMa :
Mh 😳 Kwisha Mimi
2026-09-24 09:12:36
0
cheetahboy07
Cheetah boy 🐆小王翻译 :
umesahau moja. jana nimeacha 19.5m kwa ajili yako ongeza 5 hiyo unipe 20m😂.
2026-10-04 19:34:51
0
jazira.shabani3
Jazira Shabani :
nayure anaekwambia mwenyekiwanja yuko mbali lakni ukawepo uongozi wamtaa mtendaji mwenyekiti imekaaje iyo
2026-09-24 01:51:07
0
d.simfukwe1996
D SIMFUKWE1996 :
@D SIMFUKWE1996:sisi madeleva wa school bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye juice za watoto
2026-09-29 06:51:22
0
nyela.boy
Eladi Christian Fund Umeme :
true kabisa
2026-09-21 23:55:35
2
sam622684
Sam :
hataki mwanash😂😂😂😂 wala bank account😂😂😂
2026-09-21 22:59:17
1
09.amamo
AMAMO.09 :
ogop neno moj tu kwa dalali hatak kuuz ila anauza kwa shid baaas
2026-10-01 20:27:32
0
mrssa87
Mrs Engineer ❤️ :
iliwah kunitokea kiwanja kizuri mwenye kiwanja anasema nimalizane na dalali yeye anamuamn yuko Dar hataweza kufika nikamwambia ukimaliza ubusy utanitafuta tufanye biashara
2026-09-22 05:13:08
0
kklhhhhkk
ROI BELGE ISSA :
madali hote ni matapeli tu maana wanakula watu pesa nyingi sana
2026-09-22 19:31:44
0
deluxysmartphones.arusha
DeLuxy Smartphones Arusha📲 :
Iyo kwa siri ndio muhimu.. mwanasheria hana nguvu sana tafuta ungozi wa mtaa
2026-09-22 19:02:21
0
boharimusic
BohariMusic :
Mh
2026-10-05 09:46:33
0
kingsalum23
king23 :
Mimi ninavotaka kununua Kiwanja au Nyumba ni lazima nihakiki umiliki wa hati kupitia Ardhi, 2.mwanasheria 3.Serikali ya Mtaa 4.Muuzaji ni lazima awe ambae jina lake Linasoma kwenye hati 5.Shahidi wa muuzaji lazima awe ndugu au familia ya karibu, sinaga haraka.
2026-09-23 09:36:49
0
abdulraufu69
Specialist 🚚 :
Sema hii ya hiko kiwanja wanakitaka wengi hii kwel unapigwa😅😅😅
2026-09-22 20:09:51
0
mankidaba
Man Kidaba :
naam swadakta
2026-09-23 08:33:28
0
mrssa87
Mrs Engineer ❤️ :
yaan wanakuwaga na haraka utadhani wasipouza wanakufa na simu muda wote wapo busy ili kukuaminisha kuwa wahitaji ni wengi
2026-09-22 05:14:35
0
To see more videos from user @sisi_estate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About