kaka una chezwa kama mmm inauma sana[Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-09-22 13:22:22
1
Judy wa Baba na Mama yake🥰 :
Jmn Sasa Kama Mimi mda wote nipo kwenye Wifi ko sizimi data we utakavyo feel is up to you 🤣🤣🤣 me I don't care
2026-09-22 12:32:56
1
Sammy 254 :
inauma brother ata mm niko nae niki mulisa ana niambia usijali bb 😂😂😂😂😂
2026-09-21 16:08:01
1
kwemoikiboi446 :
inauma bro
2026-09-22 03:16:29
1
Atfat :
sas mtu asibaki kuangalia tiktok kwa amani jamn😂😂
2026-09-22 06:43:26
8
pretty Ishaa :
huwenda alishtuka mda huo na akaingia online
2026-09-22 14:08:38
4
Tapeli mwenyevyeti :
binafs nikimkuta mpenz wangu yupo online nawala hachat na mm wala siwaz napia simuulizi coz kuna mtu atakuwa anajiskia raha kuchat nae.
2026-09-22 05:34:25
4
Chidy :
🤣🤣🤣 apo bro tunateseka ma over thinker but vp kama nayeye aliingia aangalie ww ulilala kwel au uliendelea na mamb yako ule mda chamsingi Apo Kaka wew oa uyo ili usimuwaze vibaya n mawazo yangu lakn🙏
2026-09-22 04:11:28
5
Mr Mon tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Ambao hatuna wapenzi tunacomment wap
2026-09-22 06:59:09
3
Tricy764 :
mimi ananiambiaga alisahau data on
2026-09-22 11:01:23
1
faridangajulage54 :
Mimi natumia wifi na Niko online masaa 24
2026-09-22 07:32:00
2
Happy🦋💖 :
anakua anachat na mpenzi wake apo😂😂😂
2026-09-22 07:06:24
1
Ezekiel Edwin Mwakajila :
Sasa watu waache kutaka muda wa utulivu wakuchat na wapenzi wao[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 07:34:01
2
princess agnecious :
mpe muda mpenzi wako achat vzur na mpenzi wake bro
2026-09-22 13:40:44
1
Jiwe :
daaah kaka inauma sana iyo kaka
2026-09-22 03:46:31
1
user8083702774411 :
inauma sana atamimi Yana Nikita achana nae hawo siyo wetu ana chati Na anae mpenda wew hakipend
2026-09-22 06:15:42
1
Mange Stephano :
mapenzi ya siku hizi ni yakuacha tu
2026-09-22 05:52:15
1
tikei masta :
daa ngoma ngum baba
2026-09-21 23:46:43
1
Sophia Dady :
mapenz ya run dunia
2026-09-22 06:30:20
2
collie :
ni dalili moja ya kua na mtu mwenye wengi bro
2026-09-22 06:00:44
1
seb :
mm hata siwezag maana hata mm sipendag kuchart na mpenz online cha msingi anazingatia tu
2026-09-22 20:09:46
1
Eva♉️ 😍😍 :
binafs hta mie naumia 😏
2026-09-22 19:15:35
1
USTADHI WA TANZANIA :
nisemee kaka, nikisema mimi nakosea[Tears of joy]
2026-09-22 17:50:31
2
kirenge jiresse :
anakuwa yupo bize na tik tok
2026-09-22 18:39:50
1
G.E²e🩵🤎 :
2026-09-22 19:57:36
1
To see more videos from user @bensemwe, please go to the Tikwm
homepage.