@vancy_crazy: #kunavituhavijirudii 😀😀 Maswali yasiwe mengi sana yakakuchanganya kichwa 😂😂Anakwenda kusoma wapi? Ada ni kiasi gani? Anaweza kupata scholarship? Gharama za maisha zikoje? Na baada ya kumaliza, hiyo course ina nafasi gani kwenye soko la ajira? Hapa ndipo tunapoingia. Tunakuongoza kutoka uchaguzi wa course na chuo, application, admission, visa, mpaka mwanafunzi anafika salama na kuanza masomo. Hakuna story za “hii ndio njia pekee.” Tunaangalia options, tunalinganisha gharama, halafu tunakushauri kile kinachokufaa. Kwa sababu kusoma nje si lazima kuwe kwa matajiri pekee. Unahitaji taarifa sahihi, maandalizi mazuri na mtu wa kukuongoza. Usimwache mwanao akose nafasi kwa sababu tu hamkupata taarifa kwa wakati. DM tuanze na wewe.
vancycrazy
Region: TZ
Monday 21 September 2026 15:55:14 GMT
Music
Download
Comments
Wande princess :
Nachoka mm
2026-09-22 09:43:45
0
Cha ugehele💖✌️ :
[Sticker] we jau😂
2026-09-21 16:03:37
7
leosultan54 :
Pole kwa mbio kila siku 😂
2026-09-22 10:00:37
5
Micky boy770🇹🇿 :
nchi za nchi
2026-09-22 12:26:29
2
JB Bàsúpã :
Bora haujae kuichukia passport[Tears of joy]
2026-09-21 16:32:32
1
Hakimi💎👑 :
So the ones using android the emoji has been replaced with [heart warming] ,[ tears of joy]😂😂
2026-09-21 19:37:35
0
Nah.nyagani🧿🧿 :
Kachkue iPhone 18
2026-09-21 19:06:14
1
pretty💝🦋 :
tuko nyuma yako adi ufaint😂😂
2026-09-21 18:28:01
2
Mamke hemedy 🇰🇪🇸🇦 :
😂
2026-09-22 17:04:22
0
momy d💯❤💥 :
😂😂😂😂 yn ww
2026-09-21 16:03:28
0
Dee😅 :
Yaaan ebu achaaa tuu
2026-09-22 10:12:32
0
qte faa :
😂
2026-09-22 07:11:13
0
pink_berr0 :
Njoo huku🤣😀😀😀
2026-09-22 11:55:37
0
KAYANDA KASOGA :
eti passport njoo uichukie sio kuichukua tena😂
2026-09-22 11:11:10
1
🦋nanah🦋🌹 :
2026-09-21 17:23:01
0
Dark_Parables🪐 :
2026-09-21 16:19:13
0
Baby girl🌹 :
Daah
2026-09-21 16:29:30
0
debr samti :
😄😄 sawaaaaah
2026-09-21 16:05:46
0
Smile with happie :
Mshangazi n mm😂😂😂
2026-09-22 17:55:26
1
neymah :
niue😂😂😂😂😂
2026-09-21 16:04:45
0
Mishamo Jr💫 :
kwan mshangaz atakupa maisha 😂😂😂
2026-09-21 17:00:22
0
Sakina Amlani :
haunaga msimamo wewe😅😅😅
2026-09-22 09:53:53
0
🦋💫baby girl🍎 :
we mwehu😂
2026-09-22 09:04:10
1
KELLY TZ :
ww ni kichaaa au😁😁😁
2026-09-21 16:01:25
0
Vietnam Boy :
😂😂😂
2026-09-21 16:27:43
2
To see more videos from user @vancy_crazy, please go to the Tikwm
homepage.