@motistar.tz: Mke wangu, rafiki yangu, furaha yangu ❤️ Kila siku nashukuru Mungu kwa kuwa na wewe kwenye safari hii ya maisha. 💍❤️ #storytime #mtetea #jogoo
𝐌𝐎𝐓𝐈🐓
Region: TZ
Monday 21 September 2026 16:29:50 GMT
Music
Download
Comments
Sarah ~ :
she beautiful 😍
2026-09-22 16:36:35
0
papateo :
god bless this famill
2026-09-22 09:20:33
0
ANEY- bud🥰🥀🦋 :
nawaona jogoo na temba[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 16:44:37
0
𝐂𝐀𝐋𝐋 𝐌𝐄 𝐉𝐎𝐄 😎🌴🖤 :
Chalii ya chuga kwenye couple ya kudumu
2026-09-21 18:09:47
41
shizer🍁💗 :
good couple
2026-09-22 11:20:56
0
precious 💞 :
love this couple ♥️♥️♥️♥️♥️
2026-09-22 08:42:40
0
Official ZigambaJr :
moja kati ya couple Bora sana naipenda
2026-09-21 20:21:02
12
jey-momo :
Adii mmefanana kwel kimfaacho mtu chake🥰😅
2026-09-21 18:10:41
10
LEAN LUXURY SCENTS :
Mtaachana tu😂😂
2026-09-22 08:02:24
3
miss breezy 💥💫💥💥🇿🇦 :
nimepend hii 🥰
2026-09-22 14:26:25
1
its wity🍷💝🥰 :
Yani mpak Mmefanana hadi kuangalia daaah nawapendraaaa sanaaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-21 16:58:00
7
BREG❤️🔥 :
MUNGU awasaidie jmn, 🎀🧸 ki ukwel mmependezana so pw 🙌🏾 muoane Sasa nyie sio wapenz tena jmn na auntie mtuletee jmn 😂
2026-09-22 16:57:23
2
user751096546 :
Nawa penda sana yaani munaendana
2026-09-21 20:55:33
0
🌴 she iz peace 😇💯 :
yaan mmependana adi mnaenda kufanana sana mkuu
2026-09-22 08:47:43
0
🌸 ñäñáh 🌸 :
ad mnafanana mashaallah 🥰🥰
2026-09-21 21:35:43
0
misslove🦋🦋 :
nawapenda sana
2026-09-22 10:29:57
0
Yuyuh mashima 👌🏿 :
Huyo kaka yupo single ?
2026-09-21 18:28:18
1
Second born 🇹🇿🇹🇿🐐🐐 :
Olewenu muachane tunaandamana why muachane😂😂😂 asee
2026-09-22 07:50:01
1
FIDHE 🍄MSOUTH :
10/10 mkuje
2026-09-22 11:27:31
0
FIRST BORN :
Kaka Achaniseme ukweli couple Yako Naipenda sana aisee Mungu azidi kuwalinda 🫡
2026-09-22 06:38:00
0
Nasrah 🥰 :
Nawapenda Jmn ❤️❤️❤️
2026-09-21 17:20:51
0
Christina :
Ni kaka na dada au mbona sielewi
2026-09-21 23:29:56
2
🦋official momo❤️💫 :
watu wangu wa maana kabisa❤️🥰
2026-09-21 18:56:28
2
Fetty108🥰 :
wawoooo m mependezana sana
2026-09-21 19:13:47
2
🌸pretty ommy.. :
nawapenda acha tyu
2026-09-21 18:10:27
0
To see more videos from user @motistar.tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.